ndugu zanguni masters ya rural development SUA-university!

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
mwenye kua na clue nzuri abt hii masterz ya rural development,i mean fees,mode of deliverance and it market. .najaribu kufungua website yao hawajaelekeza kuhusu fees. .kuna ndugu nataka natak kumpa suport!
 
Tangu mods waache kupitia thread kabla ya kupost imekuwa shida moja kwa moja
 
Nadhani mkuu ingekuwa vizuri ukaenda chuoni ili uwe na taarifa za uhakika zaidi
 
mfungulie mradi wa vitumbua unapoteza hela yako hakjna kitu hapo
 
mwambie akasome kozi kule OUT ya MCED heri ya hiyo kuliko hii ya SUA
 
Dah unajua humu ndani kuna watu wana matatizo,mtu anaomba ushauri nyie mnaleta mambo yasiyoeleweka,mkuu contact zao hizi
*tel +255232603511-14
*fax +255232604388
*e-mail drpgs@suanet.ac.tz
*address dirctorate of research n postgraduate studies po box 3151 moro, jaribu hizo contact utapata msaada
 
mwambie akasome kozi kule OUT ya MCED heri ya hiyo kuliko hii ya SUA

Who told you so? mkuu usifurahishe watu humu kama kitu hujui its better u keep your mouth shut sio kuongea ujinga, umewahi kusoma SUA au ndo unatoa comment kwa kile unachosikia kuhusu SUA, acha hizo
 
mfungulie mradi wa vitumbua unapoteza hela yako hakjna kitu hapo

Wengine hawa nao,its annoying to hear mtu kama huyu kutoa comment kama hii i wonder nahisi humu ndani kuna SHORT MINDED THINKERS na mifano ndo kama huyu
 
mwenye kua na clue nzuri abt hii masterz ya rural development,i mean fees,mode of deliverance and it market. .najaribu kufungua website yao hawajaelekeza kuhusu fees. .kuna ndugu nataka natak kumpa suport!

mkuu kishapata taarifa kamilifu kuhusu SUA, Na maswali yako yakajibiwa vizuri! uje utupe mrejesho nyuma tufaidi wengi hapa jamvini mdau!
 
Nikutumie no ya mkononi ya kiongozi mmojawapo umpigie?
 
Back
Top Bottom