Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
Piga mbegu za maboga au unga wake chukua mlonge mdarasini na asali mbichi changanya kunywa then uje utoe majibu yako. pia tende na maziwa ya mbuzi unaloweka unakula siku inayofuata huna haja ya koroga kingine acha kula chips gonga donaNi matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app