Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

pole na usivunjike moyo na mabazaz ya aina hii !tafuta tiba na ule vizuri mbn utapona ! nimeishi na watu wanaohangaika kutafta watoto ilifikia kipindi nasema Ee Mungu uzaz wangu huu wa simbilisi hamishia kwa huyu dada !huwa naumia mnooo nikiskia mwenzangu anatafuta mtoto !UTAPONA
nashukuru ndugu barikiwe sana umenipa matumaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dr aliyekuambia una low sperm hakukuambia dawa?,au hutaki kumwamini uje uamini dawa za mitandaoni?

ploudly ngosha
 
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Dr mmoja hatari sana wa hizo mambo namba zake ni0712505049

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta supplement zenye madini ya zinc kwa wingi zitakusaidia. Chinese traditional medicine zipo vyema pia katika kuboost sperm count na sperm quality. Nliwah kupata mgonjwa wa ishu kama yako, so tatzo linatibika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidogo nalimwona wa ajabu maana hakunipa majibu kamili alipindisha maelezo hatima anamwambia wife mzee wako hana uwezo wakuzalisha ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
NENDA HOSPITALI NYINGINE USIONGOZANE NA WIFE KAPIME AU IKIWEZEKANA MTAFUTE PROF MAJINGE DCMC DODOMA KWA UHAKIKA WA VIPIMO NA MATIBABU MURUA YENYE MAFANIKIO
 
Back
Top Bottom