Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,

Imma Saro

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
394
197
Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By ImmaSaro

13335799_1088374774579849_2247894246263530141_n.jpg
 
We Imma unataka kufanya nini tena mkuu njoo PM Mara moja nini kimekusibu mkuu
 
Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By ImmaSaro

13335799_1088374774579849_2247894246263530141_n.jpg
Mbona husemi nini tatizo na upo wapi na unafanyi nini na malengo gani uliyonayo?
 
Kamanda kulikoni ama kunanini bavicha hamwelewani tena kanda ya kwetu kaskazini nini mkuu ama tatizo liko wapi?
 
Angalia mkuu madhara juu ya huo uamzi utakaochukua!
Kama ni uharifu nakusihi usifanye. Usiwe na haraka ya kuyafikia malengo yako...
Remember that always shortcut has a long if not wrong cut...
Pambana hapo hapo ulipo, acha fikra mbaya iwe ni kumuibia mwajiri wako au hatua yoyote itakayokufanya ukaishi bila AMANI.

Mungu akubariki sana mkuu...
 
Ngoja mimi nifanye maamuzi magumu sasa hivi!! Hela yangu yote naenda kuipigiia ulabu!! Si mnataka tushindane kufanya maamuzi?
 
Ndo nani huyu jamaaa? sijaelewa hata maana yake ya kuandika hivi
 
Mkuu Mimi nakujua Sana. Ni mwenyekiti wa vijana wilaya ya Siha. Ulipigana kisete kuhakikisha Mh Dr G. Mollel analichukua jimbo mikononi mwa Ndg Aggrey Mwanry.

Najua ndoto zako ni kuwa kiongozi mkubwa,je umeshindwa kutimiza ndoto zako ukiwa CHADEMA Hivyo Una nia ya kubadili chama na kuhamia CCM? Najaribu kuunganisha akili ikanifikisha huko. Hebu tuambie maana yako.
 
Bob don't count the years lost,let the years count.
Wenye matatizo tupo wengi sana bob, tena makubwa ukiambiwa unazimia. Ila tunafuate ule wimbo wa Mr. Ebo R.I.P, kuwa 'ukikutana na mtu salamia ishia, kila mutu na matatiso yake, mwingine halali bila kulia...'
kwahiyo bob, mapito yako kwenye maisha na sio lazima ufight kila saa. Saa nyingine upepo ukiwa mbaya sana, lay low for sometimes and just keep an open eye.
 
Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By ImmaSaro

13335799_1088374774579849_2247894246263530141_n.jpg
Wewe ni nani na una umuhimu gani hadi tukutegee sikio!
Vinginevyo fanya vitu vyako kimya kimya.
 
Back
Top Bottom