Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

Very stupid mnakaa tu kufuga majini na ndevu hamtaki kufuga akili mka reason. Ndo maana wnye akili wanatumia upumbavu wenu wanawaambia mkajitoe mhanga mtapata mademu bomba mbingune kama zawadi na nyie kwa ufala mnakubali.

kahtaan,

Bi mkubwa mipasho sio fani yetu sisi vijana wa Madrasa kazi yetu ni kusema kweli bila matusi wala Kashfa.
Na hio uliouziwa na Gwajima alokwambia INAFUGA AKILI amekudanganya Bi mkubwa.
We km Pimbi basi utandelea kuwa pimbi mpk urudi shule

Sasa ngoja nikupe Darsa kidogo.
Je! una habari yesu na mary magdalene walikuwa mtu na demu wake? Tena VATICAN wanamuita Mary magdalene MALAYA MKUBWA.

Ushidi huu.

How Early Church Leaders Downplayed Mary Magdalene's Influence by Calling Her a Whore | HISTORY
 
Ni katika kutaka kujua tu, mana nimeliona hili sehemu nyingi sana misikiti mingi utakuta wanajifunza karate, tena wengi wanao funzwa ni vijana wadogo.

Mfano, kuna msikiti mmoja pale Ilala bungoni na mwingine maeneo ya magomeni mwembe chai.

Hili limekaaje kwamba ni utamaduni wa dini, ama ni sheria au ni jambo ambalo lipo kimaandiko??
Lengo ni nini hasa?

Mana kwenye nyumba za Mungu Kama hizi kuonekana vitu Kama hivi inaweza ikatia mashaka kwa baadhi ya watu.
Naombeni ufafanuzi kwa wanao jua.
Mkuu waifaham kalifeti weye?

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Bi mkubwa mipasho sio fani yetu sisi vijana wa Madrasa kazi yetu ni kusema kweli bila matusi wala Kashfa.
Na hio uliouziwa na Gwajima alokwambia INAFUGA AKILI amekudanganya Bi mkubwa.
We km Pimbi basi utandelea kuwa pimbi mpk urudi shule

Sasa ngoja nikupe Darsa kidogo.
Je! una habari yesu na mary magdalene walikuwa mtu na demu wake? Tena VATICAN wanamuita Mary magdalene MALAYA MKUBWA.

Ushidi huu.

How Early Church Leaders Downplayed Mary Magdalene's Influence by Calling Her a Whore | HISTORY

Huyu mgalatia cjui ni laana hiyo inamtesa,,,mada kama hizi huwa hakosekani,,fatilia tu comments zake jamaa anawachukia sana waislamu/waarabu, na kumkashifu Mtume Muhammad S.A.W.
 
Kuna Kipindi Nilikuwa Tanga, Basi Kukawa na demu Fulani nilikuwa nafukuzia ni Muislam, Nikajisemea Ngoja Nipite Msikitini Nizuge.

Duuh,

Nilikuta Vijana Wanafundishwa Karate, Yaani Wanafundishwa Mpaka Nyimbo Za Chuki.

Watu Wakirusha Teke Juu, Wanaimba Kafiri Akitia Mguu Waaah, Kafir Akitia Mguu Waah, Kafir Akitia Mguu.

Nikajua, Yes. Kazi Ipo

hahahhaahhahahhahahah

Dah hao watu hawafai
 
Huyu mgalatia cjui ni laana hiyo inamtesa,,,mada kama hizi huwa hakosekani,,fatilia tu comments zake jamaa anawachukia sana waislamu/waarabu, na kumkashifu Mtume Muhammad S.A.W.
Waislamu kuchukiwa na makafiri ni Sunnah ya Mungu hio.
We ukiona Muislamu anapendwa na Kafiri ujue huyo Ni Muislamu mlala hoi
 
Kuna Kipindi Nilikuwa Tanga, Basi Kukawa na demu Fulani nilikuwa nafukuzia ni Muislam, Nikajisemea Ngoja Nipite Msikitini Nizuge.

Duuh,

Nilikuta Vijana Wanafundishwa Karate, Yaani Wanafundishwa Mpaka Nyimbo Za Chuki.

Watu Wakirusha Teke Juu, Wanaimba Kafiri Akitia Mguu Waaah, Kafir Akitia Mguu Waah, Kafir Akitia Mguu.

Nikajua, Yes. Kazi Ipo
Acha fix
 
Nyie ndo wizi wa viatu vyetu.
Manina
Ningekukamata ningeingiza kiatu chote
 
07/10/2013

attachment.php

Kamanda Zellothe Stephen akionesha CD za mafunzo ya kijeshi zilizokuwa zinatumiwa na kundi hilo.

Na Abdallah Bakari, Mtwara
POLISI mkoani Mtwara inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kupata mafunzo ya kijeshi msituni kwa kutumia CDs za al-Shabaab.

Tukio hilo la aina yake limetokea katika mlima Makolionga wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa ambapo pia CDs zenye mafunzo mbalimbali ya kijeshi 25 zimekamatwa.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen ameuambia mtandao wa Kusini Leo kuwa watuhumiwa hao walikamatwa wiki moja iliyopita baada ya jeshi lake kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema: CD hizo zilikuwa zinatoa mafunzo ya Al-Shabaab ya kuchinja watu, Mauaji wa Osama Bin Laden, Zindukeni Zanzibar, Kuandaa Majeshi, Mauaji wa Idd Amin na Mogadishu Sniper, alisema Stephen.

Alisema watuhumiwa wote ni wakazi wa wilaya ya Nanyumbu mkoani hapa na kwamba walikuwa wakiongoza na Mohamed Makande 39, mkazi wa kijiji cha Sengenya ambaye pia anashikiliwa na jeshi hilo.

Aliwataja wengine waliokamatwa kuwani Hassan Omary (39) mkazi wa kijiji cha Nanyulu, Rashid Ismail (27). Abdallah Y. Hamisi (32), Salum Wadi (38), Fadhili Rajabu (20), Abbas Muhidini (32), Ismail Chande (18), Said Mawazo, Issa Abeid (21), na Ramadhani Issa (26) wote wakazi wa kijiji cha Likokona.

Kuhusu vitu watuhumiwa walivyokamatwa navyo, Kamanda Zelothe alisema, Tumekamata mapanga mawili, Deki ya DVD, Solar, Visu, Tochi, Betri, Simu za kiganjani 5, Vyombo mbalimbali vya kulia chakula, Baiskeli tatu, Vitabu mbalimbali wa dini ya Kiislam, Unga wa mahindi kilo 50, Mahidi kilo 150 na virago vya kulalia. Vingine ni mfuko wa kijani unaosadikiwa ni wa kijeshi wenye nembo ya nanga ya meli yenye mistari kulia na kushoto na nyoka katikati.

Alisema jeshi lake licha ya kuwafikisha watuhumiwa mahakamani, linaendelea na uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na Polisi Makao Makuu kwa lengo la kufanikisha kuunasa mtandao mzima.
 
Ulitaka niwe mzungu mweusi nipigie goti sanamu la mzungu alivaa nusu uchi sio?
We huna habari andiko limesema alietundikwa mtini kalaaniwa?

Kumbukumbu la Torati 21:22, 23

22 "..kwa sababu mtu aliyetundikwa mtini ni kitu kilicholaaniwa na Mungu"
Ataanza kulaaniwa mudi kwa kubaka watoto wa miaka 9 then utafuata wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom