Ndugu zangu waisilamu jifunzeni ya SYRIA, LIBYA na YEMEN. vurugu sio solution mtaonekana wajinga tu

Waislamu ni wastaarabu sana wanatukanwa sana pamoja na dini yao, wamechomewa kitabu chao huko mwanza,kigoma, znz,kitabu kimekojolewa dsm,humu jf nao wanawatusi sanaa.Ustaarabu wao hata siku mmoja wao hawaja wahi kuchoma kitabu chao na hata kumtusi mtu kupitia imani yake.Naona sasa wameachanza kuchoka kwa sababu sio serikali wala maaskofu wamejitokeza hadharani kupinga na kulaani yote hayo yaliotokea ina maana wanayafurahia hayo.Waaislamu uvumilivu umeanza kuota mbawa na wakiamua nchi hii itakuwa motoni ghafla coz wao hawaogopi kifo.Msijidanganye haya yanayotokea sasa yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na Serikali pamoja na Wakristo.


Usijidanganye kuwa wakristo kuwa wanaogopa kifo njoo tarime uone! na likianza tutakuja hukohuko dar kuwavua hivyo vipedo na utajuwa kuwa vita ni vita muraa!
 
Historia inawahukumu waarabu waliwabagua wakristo iraq walipowamaliza wakagundua kumbe hata wao si wamoja tena, kuna wasuni, washia na ahamaddiya! angalia aljazeera wanavyolipuana na mabumu huko baghdad,mosul,and etc.
 
.la khasha.tumefika hapa kwa sababu ya serikali kuwa na upendeleo.si shabikii hilo lakini tumekuwa tukiangalia reaction bila yakuangalia tatizo limeanzia wapi.haya ni matatizo ya muda mrefu na yamekuwa yakifumbiwa macho.qur an imechomwa mwanza,kigoma,zanzibar,dsm wamekojolea qur an.hakuna kiongozi wa dini alielaani hata serikali ika kaa kimya.hii inapelekea jamii kukata tamaa na kuamua kujichukulia hatua mkononi.
aliekojolea koran ana umri gani vile???
 
Back
Top Bottom