Ndugu zangu Wabunge tupiganie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF

Ndugu zangu waheshimiwa Wabunge, tafadhali tuangalizie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF walah miezi sana vimilioni vitano wanashindwa kutulipa jamani, halafu mnasema hatupendi kufanya kazi kweli jamani.

Imagine kijana wa miaka 35 ajira iliisha au mkataba wake umeisha na hali ya uchumi kampuni zinapunguza wafanyakazi na ajira hakuna, tunategemea hivyo vihela tujikite kwenye ujasiriamali navyo hamtupi,kazi kutusimanga hatufanyi kazi.
Nani alikuambia kuwa Tanzania kuna Bunge? Hilo siyo Bunge ni Choo Cha Misukule, imagine mtu kama Ndugai,hilo ni Taahira lililokimbia Mirembe.
 
Hii kitu inakera sana, rafiki yangu alikuwa muhasibu, baada ya kumaliza mkataba wake kwa jimbo katoliki hawakuhitaji kumuongezea mkataba. Akahitaji achukue michango ya miaka 8 NSSF, badala yake walimlipa fao la kukosa ajira ambayo ni 33% ya mshahara kwa miezi 6. Baada ya miezi sita alienda wakamwambia hawana fao LA kujitoa labda asubiri hadi afikishe miaka 55, muda huu yeye anamiaka 32.
hii kitinni moja ya sababu zinazoua uzalendo. mtu anaona anaonewa wazi wazi ndani ya nchi yake kwa mambo kama haya
 
Hii mifuko ya ifadhi ya jamii inafanana na matapeli wanao aminika.
Ile sheria ya 2018 aliyotunga Magu Ni mbaya...Kikotoo na kuondoa fao la kujitoa

Lengo lake Ni kutumia fedha za wanyonge' kwa manufaa ya kisiasa
 
Ndugu zangu waheshimiwa Wabunge, tafadhali tuangalizie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF walah miezi sana vimilioni vitano wanashindwa kutulipa jamani, halafu mnasema hatupendi kufanya kazi kweli jamani.

Imagine kijana wa miaka 35 ajira iliisha au mkataba wake umeisha na hali ya uchumi kampuni zinapunguza wafanyakazi na ajira hakuna, tunategemea hivyo vihela tujikite kwenye ujasiriamali navyo hamtupi,kazi kutusimanga hatufanyi kazi.
Ndugu kuwa mjanja acha kulaumu kama unayo leseni ya udereva tafuta shule omba kazi hata kwa mshahara mdogo rudi nssf wapelekee mkataba wa ajira wakurekebishie kwenye kipengele cha kazi unayofanya, fanya miezi mitatu mwambie muajiri akufukuze kazi pambana na malipo yako .Na log out
 
Thanks Big aisee

Maana bila mbinu hizi, Ni kuangalia
 
Nitashangaa Sana Kama Waziri Mkuu hatatoa majibu ya kutosheleza Kuhusu Mafao na FAO la kujitoa NSSF
 
Nilikua ni mpambe wa mwenda zake Ila kwenye hili nilitofautiana nae sana amenigusa moja kwa moja
 
Professional kaachishwa kazi anafuata vihela vyake nssf milioni 10 anaambiwa asubiri mpaka afikishe miaka 55. Asiye professional kaachishwa kazi anafuata milioni zake 40 nssf anapewa zote.

Siyo kwamba asie professional asipewe mafao yake lakini je kuwa professional ni dhambi? Kwa nini wote wasipewe mafao yao? Uhakika wa ajira kwa professional kwamba atapata ndani ya muda mfupi uko wapi?
Serikali fikirieni hili suala linaumiza watu.
Well said
 
Back
Top Bottom