Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Zinayafyonza yanaenda wapi? Ok. Nilikuwa sijui ila zinawachubuaga kuta za kei mkikojoa ule uchumvi chumvi unaumiza.
Uwe na maji hata kama yale ya katerero, ukitumia ndomu huwa yanapungua, yanapokwenda sijui, inawezekana ni labda mwili tu unayavuta pale utakapoanza kutumia ndomu!...waulize wadada wengi watumiaji watakwambia hili so haihusiani na ukavu au la!...

Ni kweli ndomu inachubua, na ukishachubuka ladha ya mapenzi inakata!

But ukinunua expensive condom hayo yote huwezi kuyasikia!...Ni kama mnakulana kavu tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom