ndugu zangu naumwa lkni nimenusurika mabomu ya jana arusha

Bahati1

Member
Jun 9, 2013
39
11
Makamanda jana arusha ni balaa uwanja wa soweto jana imegeuka uwanja wa mapambano tulikula bomu za kutosha nimezimia mara mbili hali ilikuwa mbaya cna nilijua roho imeacha mwili lkni mungu mkubwa cna polisi mnaharibu amani ya nchi yetu baba wa taifa alie tuachia tunapigwa mabomu bila sababu za msingi jamani kuna watu wamevunjika jana wamelazwa selian tuwaombee wapone jmni mungu ibariki chadema hatutarudi nyuma makamanda alutan contunua makamanda kesho tunaaga dada july mlioguswa na jangwa hili naomba.mpost amen
 
Kamanda gani gonjwa wewe, Unazimia Mara mbili? Sio lazimwa wote tuende Mstari wa mbele.
Kwa afya yako nakushahuri sikunyingine baki nyuma kwani ukamanda umekushinda.

Kama ni jeshini wewe unabaki kambini KUPIKA au KUFUA.

Ugua pole Kamanda wao!
 
hiyo ni sherehe kwa nchemba na ccm yake,wanataka tisiende kwenye mikutano wa chadema kwani wao hawapati watu
 
Guys naombeni web page naweza kupata musk za kujikinga na mabomu ya machozi maana hii biashara itakuwa inalipa hivi siku za karibuni kuliko hata biashara ya madawa ya kulevya. Jana nilikuwa mmoja wa wahanga wa mabomu ya mchozi ila nimegungua kuwa hii bidhaa kama itapatikana itakuwa inalipa sana hapa tanzania mwaka mmoja na nusu kutoka sasa. Coz ukiwa na kifaa kama hicho unaweza kuivaa na unaweza kuendelea kusikiliza mkutano wa kisiasa kama wa CDM au CUF na ukawa confortable hata kama itapigwa bomu la machozi.
Please assist or advice
God bless you!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom