Makamanda jana arusha ni balaa uwanja wa soweto jana imegeuka uwanja wa mapambano tulikula bomu za kutosha nimezimia mara mbili hali ilikuwa mbaya cna nilijua roho imeacha mwili lkni mungu mkubwa cna polisi mnaharibu amani ya nchi yetu baba wa taifa alie tuachia tunapigwa mabomu bila sababu za msingi jamani kuna watu wamevunjika jana wamelazwa selian tuwaombee wapone jmni mungu ibariki chadema hatutarudi nyuma makamanda alutan contunua makamanda kesho tunaaga dada july mlioguswa na jangwa hili naomba.mpost amen