Ndugu zangu natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

My learned brother shahada na bado unakuja kuomba nafasi huku?
All the years hujawahi pita kwenye sehemu yoyote?
Embu zirudie zile chimbo za kipindi unasoma. Embu wafate hata wale ulikua unasikia hata kwenye story, wakina mkono, jeba embu husika nao hao.
 
Which years , ain’t a brother though. Hata hili ni chimbo tangu ninasoma
 
Habari ndugu zangu wana JF,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 natafuta ajira yoyote itakayonisaidia kujikimu. Nina degree ya sheria lakini hata sichagui kazi.

Nina ujuzi wa computer.

Nilishawahi kua Legal Officer.

Nikishawahi kua Research Assistant.

Lakini ninaweza kufanya kazi yoyote nyingine kwa uaminifu na uchapakazi mkubwa.

Namba yangu ni: 0715258486
Asanteni

Uber ni kimbilio la graduates wengi,
 
Nenda Law school kwanza learned Sister pale utapata skills za advocacy ambazo zitakusaidia kwenye kutafuta kazi firms kwenye level zote ila kwa LLB firm nyingi watakutosa atleast uwe umepita LST hata kama hautatoka first seating ila utakuwa na skills zakutosha

Kila la kheri msomi.
 
Habari ndugu zangu wana JF,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 natafuta ajira yoyote itakayonisaidia kujikimu. Nina degree ya sheria lakini hata sichagui kazi.

Nina ujuzi wa computer.

Nilishawahi kua Legal Officer.

Nikishawahi kua Research Assistant.

Lakini ninaweza kufanya kazi yoyote nyingine kwa uaminifu na uchapakazi mkubwa.

Namba yangu ni: 0715258486
Asanteni

Kujitolea siku hizi ndio njia rahisi ya kupata ajira. Ila pia unapojitolea uhakikishe inaonyesha uwezo wako nannidhamu ya kazi.

Na ni heri kujitolea ukapata uzoefu kuliko kuendelea kutafuta kazi ukiwa nyumbani.
 
My learned brother shahada na bado unakuja kuomba nafasi huku?
All the years hujawahi pita kwenye sehemu yoyote?
Embu zirudie zile chimbo za kipindi unasoma. Embu wafate hata wale ulikua unasikia hata kwenye story, wakina mkono, jeba embu husika nao hao.
Kwa mkono bila School of Law??
 
Habari ndugu zangu wana JF,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 natafuta ajira yoyote itakayonisaidia kujikimu. Nina degree ya sheria lakini hata sichagui kazi.

Nina ujuzi wa computer.

Nilishawahi kua Legal Officer.

Nikishawahi kua Research Assistant.

Lakini ninaweza kufanya kazi yoyote nyingine kwa uaminifu na uchapakazi mkubwa.

Namba yangu ni: 0715258486
Asanteni
I have a suggestion to you.
Be an expert to help community groups on their constitution writeup. Just visit Mama Maendeleo in various wards to offer this service for affordable costs...

Utafika mbali sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom