ndugu zangu naombeni mnisaidie katika hili na ni juu ya matokeo yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ndugu zangu naombeni mnisaidie katika hili na ni juu ya matokeo yangu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KakaNanii, Feb 9, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kwanza nashukuru mungu niliyopata,naombeni mnisaidie kunijulisha ni shule gani the best za private au goverment kwenye combination ya HKL,naombeni mnijuze niijue niifanyie mchakato na kuifatilia haraka iwezekanavyo.tafadhalini ndugu zangu naombeni sana.......
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Loyola iko dsm.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We ni senetor wa jimbo gan mkuu?
   
 4. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bondeni high school iko katkat mwa jiji la A.city
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Shaaban Robert si haba!
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  huyu njuka ni kijana wako mkuu?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  The best private schools?
  Pitia websites za hizi:
  Braeburn second school, iko kisongo arusha.
  International School of Tanganyika
  International School in Moshi
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  WeWe naye kweli kabisa haujui shule bora za serikali? Je Zile za vipaji maalum? Toa matokeo yako tuone kama yanaweza kukupeleka ktk hizo shule maalum.
   
 9. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  acha mambo ya ajabu ndugu wewe,maisha haya sio siasa,kama uwezi shauri mtu kaa kimya kuliko kutema pumba
   
Loading...