Ndugu zangu naomba kufahamu kuhusu incubator

Naomba kujua incubator ya mayai 30 inauzwa shilingi ngapi dukani na maduka gani yanayouza incubator?
Tunazo za mayai 36 ni full automatiki na inageuza mayai yenyewe. Pia unaweza kutumia umeme wa tanesco au solar au betri. Matumizi yake ya umeme ni madogo sana. 35w sawa na unit 0.84 kwa saa 24.

Tupigie/whatsapp 0783095169
Bei yake ni sh 200,000 tu
IMG-20210217-WA0000.jpg
 
View attachment 1716321
kama unazo si ungempigia picha vizuri kuliko kumtumia tangazo na kuelezea ulipo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom