Ndugu zangu mnaoenda JKT mjiandae.......!

Loy MX

JF-Expert Member
Mar 26, 2012
1,253
312
Sijui ni kweli au la.........
 

Attachments

  • 1013095_596076933757621_933150016_n.jpg
    1013095_596076933757621_933150016_n.jpg
    12.6 KB · Views: 1,057
Ndi sababu tunawaambia mkienda mkirudi mnakuwa mmeiva. Ulitegemea ukakenue meno. Huko ni jeshini na vita ikitokea unakuwa uko imara kwenda frontline kwani mbinu zote za medani uanakuwa umeshazipata. Nawatakia kila la kheri.
 
hakuna kujifunza nidhamu ni ungangari kwa kwenda mbele, wa TZ waleo si wamwaka 47,
 
Kizazi ambacho hakijaenda JKT kitaitengeneza nchi hii vizuri sana mara baada ya kizazi kilichoenda JKT huko nyuma kwisha chote, lakini itakuja kuvurugwa tena na kizazi hiki cha sasa kinachoenda JKT. JKT ndio adui namba moja wa yanayotendeka leo, si unaona hata ZZK baada ya kwenda JKT kama ameshuka kidogo kiwango chake cha umachachari! I hate JKT japo nilihudhuria, lkn ni u...vu wa mwisho kabisa kuwahi kufanywa nchi hii
 
hiyo ni kawaida nenda kwenye kikosi chochote cha jeshi halafu fanya uharibufu wowote uone adhabu zao!!!
 
Haya ni mazoezi ya KIJESHI au ya KUJISAIDIA kwenye matope??? Maana huyu wa mwisho naona kaka pozi la msalani....
 
Hii ndio yenyewe kwani vijana watakuwa wajasiri wazuri watakuwa na uchungu na nchi yao
 
Back
Top Bottom