Ndi sababu tunawaambia mkienda mkirudi mnakuwa mmeiva. Ulitegemea ukakenue meno. Huko ni jeshini na vita ikitokea unakuwa uko imara kwenda frontline kwani mbinu zote za medani uanakuwa umeshazipata. Nawatakia kila la kheri.
Kizazi ambacho hakijaenda JKT kitaitengeneza nchi hii vizuri sana mara baada ya kizazi kilichoenda JKT huko nyuma kwisha chote, lakini itakuja kuvurugwa tena na kizazi hiki cha sasa kinachoenda JKT. JKT ndio adui namba moja wa yanayotendeka leo, si unaona hata ZZK baada ya kwenda JKT kama ameshuka kidogo kiwango chake cha umachachari! I hate JKT japo nilihudhuria, lkn ni u...vu wa mwisho kabisa kuwahi kufanywa nchi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.