Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Kuna hiki kislay queen huwa nakinyanduaga mara nyingi sana hapa kwangu,kwa muda tuliokuwa pamoja mpaka sasa na vile tulivyozoeana inatosha kusema kabisa kwa sasa sisi ni wachumba Sugu,
Kiukweli ananipenda na naona hiyo kutoka kwake kabisa na ameshaweka mategemeo asilimia 100% kabisa kwamba mimi ndio nitamuoa,
ila binafsi nikimtazama naona bado hajakizi vile vigezo vyangu,ukitoa kile kigezo cha kujituma wakati wa uchakataji(Hapo yuko vyema ana A+).
Kwanza kabisa anapenda sana chipsi mayai,na vyakula vya kununua nunua,Ni mvivu jikoni naweza kusema hawezi kupika kabisa,(kwa sababu mimi niko vizuri jikoni ) hivyo nikitazama mapishi yake najua kabisa hakuna kitu,
Ni juzi tu hapa nilimtest anipikie ugali na dagaa ,
Ni kweli alipika lakini nilichokiona aisee unga wenyewe ni nusu tu lakini ugali mabuja buja kibao ingawa uliiva,
Dagaaa ameishia kujaza mafuta na mitomato kibao akidhani ndio ananogesha mboga kumbe amna kitu,
Nikasema hii isiwe kesi,jana nimejitosa kununua kuku apike ,
Huyo kuku Kumtengeneza tu yenyewe ni shida vile vipande kwa jinsi vilivyokatwa katwa sikujua ata nakula kuku kwa eneo gani ,paja,mgongo au kidali sielewi,
Ulivyofika wali kanijazia mafuta kibao ukiminya tonge mkononi mafuta yanatiririka(Nikioa si ataniua kwa pressure),
Pili nimemtazama kwenye mambo mengi ila moja kubwa ni kwamba huyu demu hawezi chochote kuhusu bishara au ujasiliamali,
Yeye ni wa kuletewa kila kitu huu si mzigo siku nikioa,
Nilishawai kumpa option achague kitu chochote anachoweza kukifanya cha kumuingizia kipato akasema hamna,
Nikamuuliza ata nikikupa mtaji ufungue ofisi ya kuuza Rasta hizi za kike uweke na kasaloon kako ka kike pembeni weka fundi hawe anasuka suka uingize mia mbili mia tatu, akanijibu yeye hawezi .
Ndugu zangu hivi nisipomuoa mwanamke huyu naweza kuwa na dhambi kweli?
CC Zero IQ