Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Kama una dhamira ya dhati ya kuacha kuvuta fegi fanya hivi:- muda mwingi unatakiwa uwe karibu na wale ambao unawahofia wasikugundue kuwa unavuta, maana hata ukipata kiu unajikuta unashindwa kuvuta coz utakuwa karibu na wale/yule asiyependa uvute sigara, na huyo girlfriend wako umuoe kabisa acha ubwege wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavuta ngapi kwa siku?.Tuanzie hapo kwanza

-Kama unavuta 10 anza kupunguza kidogokidogo,wiki hii vuta 8,wiki unayofuata vuta 6 kwa siku,hivyo hivyo mpaka utakuta umebaki na mbili kwa siku then moja.
-Usinunue pakti la sigara,nunua moja moja,na kama umeshaamua utavuta idadi kadhaa kwa siku nunua zote kwa pamoja uwe nazo.
-Unapovuta usiingize moshi mwingi ndani.
-space muda kati ya sigara moja na nyengine,mfano masaa manne manne ukivuta saa moja,usivute tena mpaka yapite masaa manne au zaidi.

Ps.ukiwa na stress usikimbilie pombe ama sigara,kula shada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes ni mindset tu, nilianza kuvuta sigara 2012 nikiwa na wazungu maeneo ya baridiiiiii wenzangu wakawa wanavuta huku wapo poa tu huku mie nakufa na baridi ndio wakanishauri nivute kupunguza baridi.

Basi hadi kuja kurudi kwenye joto letu nikawa mvutaji mzuri tu na hakuna aliyekua anajua maana nilipokua navutiaga Mungu anajua tu yaaan kama mvutaji bangi kwa mashaka.

Usiku kifua kilikua kinabana kupumua shida na kukohoa hadi mama yenu (mke wangu) akahisi nimeukwaa.. Nikasema huu ni ujinga yaani nakufa nikijiona kisa kitu cha shilling 200? Basi nikaacha ghafla tu kama masikhara nikawa nafanya mazoezi ya kukimbia uwanja wa mpira kila usiku na kunywa sana maji.

Sasa hivi ushapita muda mrefu sana yaaani najihisi kama mtoto mdogo kifua kilainiiii... Ndugu zangu sigara zinazeesha na zinaua acheni masikhara kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu..
..sijawahi kusikia kuhusu huo nicotine plaster.....nielezee kidgo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hivi mkuu, moshi ya sigara imejaa makemikali, na mmoja ikiwa nicotine. Hii nicotine ndio inafanya ukose raha wakati unapokosa fegi. Sasa wataalamu wametengeneza plaster iliyo na hii nicotine. Unabandika mwilini, na pole pole mwili inapata ile raha ya nicotine bila ya uvutaji sigara. Kila baada ya muda fulani unabadilisha hiyo plaster. Ulizia maduka ya madawa, lakini mimi ninge kushauri ndugu yangu, uanze na mazoezi, lishe bora na ubadilishe mawazo. Kaa mbali na mazingira yanayo kufanya uvute sigara. Baadilisha mfumo ya maisha, na sasa ikiwa ni mwaka mpya ni muda mwafaka kuleta vitu mpya maishani!
 
1.Fanya mazoezi ya kukimbia,
2.kaa na watu unaowahofia/unaowaheshimu sana
3.usikae mazingira ya kujifichaficha ambapo unaweza kuvuta bila hofu,
4.usipendelee kutembea na pesa ndogondogo eg 200 or 500
5.kuwa busy
6.ondoa mawazo yaliyokufanya uvute
7.CHUKIA SIGARA

Nilitumia njia hizi kuacha sigara baada ya kuvuta kwa miaka 15, miezi yako saba bado nikotin haijakukaa kisawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu kuianza ni rahisi sana kazi ipo kwenye kuiacha
Nakushauli siku ukiwaona hao ndugu zako wapo na watu wengine ambao sio ndugu zako watu wawe wengi wengi jifanye kama hujawaona washa sigara yako vuta moshi mwingi uupulize uende juu kwa wingi hapo hao ndugu zako watakushangaa sana ila watapozwa na hao watu walionao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi mkuu, moshi ya sigara imejaa makemikali, na mmoja ikiwa nicotine. Hii nicotine ndio inafanya ukose raha wakati unapokosa fegi. Sasa wataalamu wametengeneza plaster iliyo na hii nicotine. Unabandika mwilini, na pole pole mwili inapata ile raha ya nicotine bila ya uvutaji sigara. Kila baada ya muda fulani unabadilisha hiyo plaster. Ulizia maduka ya madawa, lakini mimi ninge kushauri ndugu yangu, uanze na mazoezi, lishe bora na ubadilishe mawazo. Kaa mbali na mazingira yanayo kufanya uvute sigara. Baadilisha mfumo ya maisha, na sasa ikiwa ni mwaka mpya ni muda mwafaka kuleta vitu mpya maishani!

Hii Plaster inauzwa bei gani..?
 
Fanya kitu kidogo kila ukipata hamu nunua pipi kifua kula inasadia sana kuna jamaa yangu alicha kwa style iyo afu usikae na wavutaji
Niwe muwazi nilikuwa mtumiaji wa Embassy, chakuongezea unapopata Kiu jikipu bize Sana tena Sana, pili ebuka kununua sigara nyingi nunua moja unapotaka kuvuta ichekiiiii halafu vuta hisia kuwa inamazara then itupe,, huku ukijisemea sivuti tena,, taratiiiibuuu mwaka wa tatu sijapiga Embassy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[Hongera
QUOTE="Liparamba, post: 29991591, member: 369998"]Niwe muwazi nilikuwa mtumiaji wa Embassy, chakuongezea unapopata Kiu jikipu bize Sana tena Sana, pili ebuka kununua sigara nyingi nunua moja unapotaka kuvuta ichekiiiii halafu vuta hisia kuwa inamazara then itupe,, huku ukijisemea sivuti tena,, taratiiiibuuu mwaka wa tatu sijapiga Embassy.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Hahahahaa kaka hii mbinu nzuri ila ya kikatili Sana'a.......ntaitumia pia
Kama una dhamira ya dhati ya kuacha kuvuta fegi fanya hivi:- muda mwingi unatakiwa uwe karibu na wale ambao unawahofia wasikugundue kuwa unavuta, maana hata ukipata kiu unajikuta unashindwa kuvuta coz utakuwa karibu na wale/yule asiyependa uvute sigara, na huyo girlfriend wako umuoe kabisa acha ubwege wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa siku unavuta ngapi kwa siku?.Tuanzie hapo kwanza

-Kama unavuta 10 anza kupunguza kidogokidogo,wiki hii vuta 8,wiki unayofuata vuta 6 kwa siku,hivyo hivyo mpaka utakuta umebaki na mbili kwa siku then moja.
-Usinunue pakti la sigara,nunua moja moja,na kama umeshaamua utavuta idadi kadhaa kwa siku nunua zote kwa pamoja uwe nazo.
-Unapovuta usiingize moshi mwingi ndani.
-space muda kati ya sigara moja na nyengine,mfano masaa manne manne ukivuta saa moja,usivute tena mpaka yapite masaa manne au zaidi.

Ps.ukiwa na stress usikumbilie pombe ama sigara,kula shada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa siku navuta tano mpka sita tu kaka....huwa sivuki hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom