Ndugu zangu hawajui kama navuta sigara! Naomba mnisaidie namna ya kuacha kabla sijaumbuka


Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,647
Likes
4,407
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,647 4,407 280
Ndugu zangu, kaka, dada zangu na wadogo zangu...

Nimekuja mbele yenu nikiwa na tatizo moja ambalo ni kubwa sana kwangu..........

Ni hivi...

Kama miezi michache iliopita ((mwezi wa saba mwaka Jana)) kijana mwenzenu nilipatwa na tatizo kubwa sana LA kusimamishwa kazi eneo nililokua nafanyia kazi,,,,tulisimamishwa mim na wenzangu watatu kwa kuonekana kuna upotevu flan wa fedha nyingi sana ambazo zinatumwa na wahisani kwa ajili ya watoto yatima na walioathirika na VVU.

Ukweli niliohapa mbele ya Mungu wangu ni kwamba sikuhusika kabisa na uwizi huo wala sikushiriki kutafuna hizo hela,,,na mim ni mfanyakazi wa chini sana pale ofisini lkn nikashangaa kwa nn nihisiwe mm wakati mahela wana yacontrol wao,,!!! na mpka uchunguzi ulipo fanyika nilionekana sina hatia juu ya fedha hizo na nikarudishwa kazini......wenzangu wawili mpka Leo hawajarudishwa..

Sasa shida ni kwamba..
Kipindi kile nilijikuta mwenye stress na mawazo sana jambo lililonipelekea kua mlevi niliepindukia yani pombe asubuhi mpaka jioni na uvutaji wa sigara uliokithiri....sio siri nilikua napiga sigara na pombe kiasi ambacho siwez hata kuelezea vizur mkaelewa.....

Upande wa pombe nilikua nagusa kidgo kidgo tangu miaka mingi iliopita lkn sikufikia hatua ya kuitwa mlevi,,lakn upande wa sigara ndo nilikua nimeanza kipindi hicho cha matatizo....before sikuwahi kabisa kutumia...

Sasa japo matatizo yalikuja kuisha lkn bado nimekua naendelea tu kuvuta maana nimekua nikikaa tu masaa manne au matano bs najiskia hamu ya sigara vibaya mno na kuamua kununua na kuvuta........yani huwa najaribu kujizuia sometimes inafika mpka jioni ghafla nakuta kiu kimekolea ile mbaya bs napiga tenaa........

Kilichonileta hapa ni kwamba naomba sana ndugu zangu mnisaidie nifanyeje ili niweze kupunguza kwa kiasi kikubwa kuvuta sigara na kupambana na kiu inayokua inanibana mpka mwishowe niache kabisa...kabla madhara makubwa sana ya kiafya yajaanza kunivaa..

Naamini humu kuna watu wamewahi kua wavutaji wakubwa wa sigara na wakafanikiwa kuacha.......

Msaada wenu tafadhar..
Note:: mpka Leo hii hakuna ndugu anaefahamu kama navuta sigara.......wakija kujua...kama mama angu ndo nahisi atachanganyikiwa sana na ataumia sana.....hata girl friend wangu hajawahi bahatika kunikuta na harufu ya sigara,,akija kujua tu bs naamini kabisa uwanja wa mapenzi utaota nyasi....daaaahh

Nisaidieni niache hii kitu ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,647
Likes
4,407
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,647 4,407 280
Si ndo hapo kaka....yani wameniedita heading yangu na kuandika upuuzi ambao hauleti mantiki.....yn wamemaanisha kwamba nataka niache sigara sababu ya ndugu.....akati kwenye mada nimedhihirisha wazi kwamba nahitaji kuacha sababu ya afya yangu
Hapa mods mbona wamekufanya uonekane mnafiki! Eti unataka kuacha kuvuta sigara ili uonekane mzuri mbele ya watu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Shaka-Zulu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
154
Likes
220
Points
60
S

Shaka-Zulu

Senior Member
Joined Nov 20, 2018
154 220 60
Si ndo hapo kaka....yani wameniedita heading yangu na kuandika upuuzi ambao hauleti mantiki.....yn wamemaanisha kwamba nataka niache sigara sababu ya ndugu.....akati kwenye mada nimedhihirisha wazi kwamba nahitaji kuacha sababu ya afya yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, mkuu!!! Hapa mods kama ana ustaarabu anahitajika kukuomba msamaha.
 
S

Shaka-Zulu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
154
Likes
220
Points
60
S

Shaka-Zulu

Senior Member
Joined Nov 20, 2018
154 220 60
Amenikosea sana kaka.....ila fegi zinanisumbua sana nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuachana na fegi, mkuu utahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Anza kwa kupunguza uvutaji kidogo kidogo kila siku, na huku ukianza mazoezi na chakula yenye lishe bora! Punguza zile mawazo zinakufanya uvute! Pia kuna kitu inaiitwa 'nicotine patches' ni kama plaster hivi, unabandika mahali na pole pole inakusaidia kuacha kuvuta fegi.
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,647
Likes
4,407
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,647 4,407 280
Ahsante mkuu....sijawahi kusikia kuhusu huo nicotine plaster.....nielezee kidgo
Kuachana na fegi, mkuu utahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Anza kwa kupunguza uvutaji kidogo kidogo kila siku, na huku ukianza mazoezi na chakula yenye lishe bora! Punguza zile mawazo zinakufanya uvute! Pia kuna kitu inaiitwa 'nicotine patches' ni kama plaster hivi, unabandika mahali na pole pole inakusaidia kuacha kuvuta fegi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,647
Likes
4,407
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,647 4,407 280
Hahahaa kaka hongera sana.....Ila sasa cha ajabu kwangu ni kwamba MTU akiwa anavuta harufu yake inakua inanikera....ila nikiwa navuta mm nakuoa naiona iko poa sana...
mi nimeacha kwa kukwepa wavutaji, nikisikia ile harufu napata stimu za kuvuta
Sent using Jamii Forums mobile app
 
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Messages
1,511
Likes
1,128
Points
280
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2015
1,511 1,128 280
Kama una dhamira ya dhati ya kuacha kuvuta fegi fanya hivi:- muda mwingi unatakiwa uwe karibu na wale ambao unawahofia wasikugundue kuwa unavuta, maana hata ukipata kiu unajikuta unashindwa kuvuta coz utakuwa karibu na wale/yule asiyependa uvute sigara, na huyo girlfriend wako umuoe kabisa acha ubwege wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,139
Likes
8,390
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,139 8,390 280
Unavuta ngapi kwa siku?.Tuanzie hapo kwanza

-Kama unavuta 10 anza kupunguza kidogokidogo,wiki hii vuta 8,wiki unayofuata vuta 6 kwa siku,hivyo hivyo mpaka utakuta umebaki na mbili kwa siku then moja.
-Usinunue pakti la sigara,nunua moja moja,na kama umeshaamua utavuta idadi kadhaa kwa siku nunua zote kwa pamoja uwe nazo.
-Unapovuta usiingize moshi mwingi ndani.
-space muda kati ya sigara moja na nyengine,mfano masaa manne manne ukivuta saa moja,usivute tena mpaka yapite masaa manne au zaidi.

Ps.ukiwa na stress usikimbilie pombe ama sigara,kula shada.Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAECOLTD

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Messages
999
Likes
1,505
Points
180
TAECOLTD

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2013
999 1,505 180
Sometimes ni mindset tu, nilianza kuvuta sigara 2012 nikiwa na wazungu maeneo ya baridiiiiii wenzangu wakawa wanavuta huku wapo poa tu huku mie nakufa na baridi ndio wakanishauri nivute kupunguza baridi... Basi hadi kuja kurudi kwenye joto letu nikawa mvutaji mzuri tu na hakuna aliyekua anajua maana nilipokua navutiaga Mungu anajua tu yaaan kama mvutaji bangi kwa mashaka. Usiku kifua kilikua kinabana kupumua shida na kukohoa hadi mama yenu (mke wangu) akahisi nimeukwaa.. Nikasema huu ni ujinga yaani nakufa nikijiona kisa kitu cha shilling 200? Basi nikaacha ghafla tu kama masikhara nikawa nafanya mazoezi ya kukimbia uwanja wa mpira kila usiku na kunywa sana maji
Sasa hivi ushapita muda mrefu sana yaaani najihisi kama mtoto mdogo kifua kilainiiii... Ndugu zangu sigara zinazeesha na zinaua acheni masikhara kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelvin X

Kelvin X

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Messages
1,026
Likes
808
Points
280
Kelvin X

Kelvin X

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2011
1,026 808 280
Hahahaa kaka hongera sana.....Ila sasa cha ajabu kwangu ni kwamba MTU akiwa anavuta harufu yake inakua inanikera....ila nikiwa navuta mm nakuoa naiona iko poa sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
ni ngumu ila ukidhamiria utaweza, ile kitu ina panda na beer sana lakini ukiwa una kunywa zako alone au home tu kiu ina potea
 

Forum statistics

Threads 1,250,102
Members 481,224
Posts 29,720,705