Ndugu zangu ccm ushauri muhimu kwenu huu hapa!!

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
CCM . . . . Acheni kufanya siasa za kuwashambulia chadema kwani mnawaongezea umaarufu. Kumbukeni jambo moja kwamba nchi maskini kama Tanzania matatizo ni mengi sana na karibu yoote ni rahisi sana kuyatolea nadhalia za kuyaondoa kuliko vitendo.
Mnachotakiwa kufanya ni kuhubiri mazuri mlofanya ili raia waone mwelekeo wenu badala ya kupambana na chadema kwa mtindo huo mnaofanya. Mnachofanya kwa sasa ni kuitengenezea chadema umaarufu usio haki yao!!
 
hakuna cha kumwambia mtu mwenye njaa zaidi ya kumpa kwanza chakula
 
Back
Top Bottom