Ndugu zangu ccm tuacheni kulimbikiza maswali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zangu ccm tuacheni kulimbikiza maswali!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papa D, Mar 30, 2011.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  UJUMBE WANGU KWA CCM:-
  1. Tuliwatisha kuwa wapinzani watatufikisha Rwanda, wakatishika, wakajificha, hali ilipoanza kutulia walihoji mantiki ya hoja yetu, kabla hatujajiba au badala ya kujibu tumetoa kitisho kingine kwamba;
  2. wapinzani ni wadini na wanatugawa, tayari wameshatishika, naamini hali itakapoanza kutulia watauliza mantiki ya hoja zetu, hapo tutaibuka na hoja nyingne!!
  KAMA KUNA MWANA CCM HUMU KESHAANDAA HOJA NAMBA TATU, NI BORA AITOE SASA ILITUZIPUNGEZE KUONDOA WASIWASI WA KULIMBIZA HASIRA ZA WATANZANIA!!!!

  TUNACHOTAKIWA KUZINGATIA WAKTI HUU NI KWAMBA:-
  SIKU MOJA WATATAKA MAJIBU YA MASWALI YOOTE WALOTUULIZA, KAMA HATUTAKUWA NA MAJIBU THEN, SISI PAMOJA NA WENYE VINASABA VYETU WATATIWA HATIANI, ITAKUWA NI VILIO NA KUSAGA MENO!! KINACHOTOKEA KWA NDUGU ZETU WAISLAM KWA SASA NI KUTISHIKA KWAO NA VITISHO TULIVTOTOA KAMA NDUGU ZETU WA KANDA YA ZIWA WALIVYOTISHIKA PALE WALIPOAMBIWA YATAWAKUTA YA RWANDA!!!! [sifahamu kama kanda zingine walitishika kama kanda ya ziwa. Karagwe mnajua mlivyoogopa hasa mkikumbuka zile maiti za akina mama walobebeshwa vichanga vyao!]
  UJUMBE WANGU KWA MAKAMBA NA KIKWETE:-
  Huenda mnajipa moyo kuwa wakti watakapohitaji hayo majibu ninyi hamtakuwa viongozi tena huenda mtakuwa mlishakufa, lakini kuna jambo moja hamtalikwepa kwamba "justice cannot be undone!!" and that we are all not sure what does exist after DEATH!!
   
Loading...