Ndugu zako wanakusalimu (Revised) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zako wanakusalimu (Revised)

Discussion in 'Entertainment' started by Dingswayo, Jul 18, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nilibahatika kwenda kijijini nikawaona ndugu zako wanakusalimu sana. Bahati nzuri niliwapiga picha nimekuletea uzione.
   

  Attached Files:

 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sasa sawa kabisa, tumewaona bana!
  Kwa kweli wako fit, na kinachoniacha hoi ni TABASAMU ZAO.
  wANA MATATIZO LAKINI WANACHEKA!
  Nilisoma nao hao wote bana, maisha haya!
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  wewe!!!
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  LOL. Umeniacha sina mbavu!
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahahahah

  anyway nashukuru sana kawa salam
   
 6. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  AISE, JUZI NILIFIKA KIJIJINI KWENU, NDUGU ZAKO WOTE WANAKUSALIMU. HUWEZI AMINI, NILIWATWANGA PICHA KAMA HUAMINI WACHEKI!!!

  [​IMG]
  MDOGO WAKO –CHAUZURI

  www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5301&stc=1&d=1247659439
  ANKO WAKO BW. TISHA AU "Bab'ubaya

  www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5302&stc=1&d=1247659439
  Kaka yako Bw.Kiwewe

  www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5303&stc=1&d=1247659439
  Shemeji - Kimti
  UNA-MCHEKI LAKINI???? KAMA…

  www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5304&stc=1&d=1247659439
  MTOTO WA BRO.WAKO

  www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5305&stc=1&d=1247659439
  BABU YAKO Mzee Mtoro.

  www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=5306&stc=1&d=1247659439
  RAFIKIO WA KITUPWA Mr. Kamilius.
  ALIFURAHI SANA KUSIKIA UKO VIWANJA…
   

  Attached Files:

 7. Mr Kiroboto

  Mr Kiroboto JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  dah,ok nami nawapa hi
   
 8. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Dah! Wakuu hii ndiyo hali halisi ya Watanzania wengi. Suala la kuangalia sura za wenye mambo safi kwenye blog na magezeti zinatufanya tusahau taswira halisi za ndugu zetu. Wakuu mlioleta picha kula tano, kudos.

  Jamani madhara ya umasikini na ujinga ni makubwa sana. Watu hawa hawana mlo bora, usafi kwao ni tatizo na maradhi kama vile kuoza meno, ugonjwa wa ngozi hayakosekani.

  Hapa ujinga nimeuweka kwa maana ya kwamba usafi haufungamani sana na umasikini. Unaweza kuwa masikini sana bado ukajitahidi kuwa msafi. Turudi kwenye vita iliyotangazwa na baba wa Taifa dhidi ya ujinga, umasikini na maradhi.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Dingiswayo, huyu Chauzuri ni pacha mwezako? Mbona mmefanana sana...? Made in Peramiho hii.

  They're real cute and handsome. Real!
   
 10. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  why Peramiho not other part of the world?
   
 11. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  ndugu yake na YoYo,amemtelekeza hoku bush....huyu ndio HB kijiji kizima mcheki na kihereni chake hapo.
   
 12. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Shemijiwe na FIdel80 Bw.Kiwewe
   
 13. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Dah sijui ni ndugu yake na Nyani Ngabu maana wana fanana sana.YoYo ebu nisaidie hapa
   
Loading...