Ndugu Yetu Major Kilindo wa Sinza Kwa Remmy Ametutoka

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456
Ndugu zangu leo nasikitika kuwataarifu kuwa Ndugu yetu Major Kilindo wa sinza kwa Remmy ( na mapambano) ametutoka leo kwa ugonjwa wa kansa

Msiba uko lwao sinza mapambano

Rest in peace brother Major!
 
R.I.P Major Kilindo, kaugua kansa kwa muda gani? nimekutana naye miezi michache iliyopita.
 
Sinza Tunapoteza ndugu zetu wengi mwaka huu

Liana wa Namnaani RIP
Kulwa Ikangaa RIP
Major Kilindo RIP
 
Ndugu zangu leo nasikitika kuwataarifu kuwa Ndugu yetu Major Kilindo wa sinza kwa Remmy ( na mapambano) ametutoka leo kwa ugonjwa wa kansa

Msiba uko lwao sinza mapambano

Rest in peace brother Major!

Huo ni wasifu wa kijeshi ama ni jina tu
 
Huo ni wasifu wa kijeshi ama ni jina tu
hapana. Major ndiyo jina alilopewa na wazazi wake, baba yake ambaye ni marehemu alikuwa mwanajeshi na mpaka anafariki alikuwa na cheo cha colonel wa JW. Marehemu Meja ni kijana maarufu sana mitaa ya Sinza alikuwa mcheshi na mtu wa kujichanganya sana. Pia Dodoma anafahamika sana, aliishi kule miaka mitatu akiwa mwanafunzi wa CBE
 
Mungu ailaze mahali pema peponi roho Ya Major... Nimemjua Major nikiwa CBE DODOMA...
 
nmesoma nae cbe clas moja and wat i heard ni kwamba amefariki na malaria walimuoverdoz qwnin...RIP PAPAA MAJOR
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom