Ndugu yetu Hashim Thabit now yupo Taiwan anacheza Basketball

Stop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBA

Na isitoshe anaendelea kutuwakilisha huko Taiwan na anakichafua mbaya
Anajiwakilisha yeye mwenyewe na familia yake.
Na hakuna support tunayoweza kumpa sisi. Yeye mwenyewe aendelee kupambania maisha yake na ww pambana na ya kwako.
 
Hashim ni mtu wa kuvimba, showoffs na kujimwambafai.

Angekuwa na mafanikio hayo, kila mwezi angekuwa anakuja bongo kuuza sura huku akifanya interviews za hapa na pale.

Wakati ule anazuga NBA tulikuwa hatulali, kila siku interviews Clouds mara Judge BSS ya Madam Ritta yumo.

Hashim Thabiti ni Diamond Nyange asiye na cha kuonesha.
Amebadilika ndugu, nafikiri amejifunza kitu pia alikuwa kijana sasa naelekea kuwa mtu mzima
 
asheem Thabeet Net Worth
So just how rich is Hasheem Thabeet? This outstanding NBA player annual earnings, inclusive of prize money and sponsorships, is estimated to have a current net worth of $8 Million and an annual estimated salary of Under Review.

The Tanzanian athlete’s earnings remain impressive compared to other famous athletes like Thabo Sefolosha and Stephen Curry, who also rank in TheRichestCelebrity.com list.

Let’s give a quick look at his net worth and salary is as follows.

Estimated Net Worth (2019)$8 Million
 
You know nothing about content creators especially bloggers.
 
Kwaiyo mkuu, mobeto ndio umemuona bonge la demu?
Hujanielewa , nimemtolea Mobeto kama mfano wa mabinti wapenda show off ....hata hvyo uzuri wa mwanamke upo Kwa mtazamaji cha msingi Tu awe na chura
 
Hyo ndio project Tu mlishaanza kuponda

Hyo simu ingetoka mngeanza kuiponda kwa kuilinginisha na simu za ma master wenu
Hawezi kutengeneza simu labda partnership na Mzungu ..... Tutalaumiana tuu , Mbna kitu simple Sana
 
Stop being hater bro....mpe support kwa hta icho kidogo alichofanya NBA

Na isitoshe anaendelea kutuwakilisha huko Taiwan na anakichafua mbaya
Taiwan uyo kashapotea kwenye rada toka NBA mpka taiwan ndo maana ata yy kakaa kimya
 
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.

bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.

Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.

Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Ndio anamalizia career yake huyo kama samata pale uturuki...
 
Ajiombee mwenyew na apambane na maisha yake .Ata akija kwa kauli yake watamsapoti warefu wenzie tuko bize na nyungu na maombolezo na wapendwa wetu
 
Hashimu angekuwa saivi NBA angekuwa anakula around. 34milion USD per year Kama akina Steph Curry na James harden,DeMar DeRozan na wenzake wengine waliosustain class of 2009 NBA Draft

Kwa hio pesa ange invest Sana hapa bongo angekuwa don dada

Ila daah life Hilo nyie ukipata chance ya kupiga pesa ndefu mahali komaa nayo kieleweke
 
Inavyoonekana huyu ndugu spirit yake ya upambanaji ipo juu Sana, licha ya mambo kumuendea kombo kwenye ligi ya nba.

bado hajakata tamaa anaendeleza mapambano na bila Shaka anaendelea kupiga hela za kigeni.

Kwa mujibu wa habari kutoka marekani Hashim Thabit kwa sasa ni milionea coz hela zake za mwanzo kuzipata nba alizitumia vizuri kwenye uwekezaji wa majengo (real estate) now ana mkwanja kama wote Hana shida.

Watanzania tuendelee kumuombea huyu ndugu yetu asndelee kuliwakilisha taifa letu ughaibuni na kuleta mkwanja nyumbani.
Sasa mtu ni milionea tena tuanze kumuombea awe bilionea tena,, Ujinga huo wakati mm hata kwenye elfunea sipo kabis, ngoja nifike huko nitamwombea,,
Kila mtu apambane na hali yake!!!!!!
 
Sasa Mdogo wangu Hashim umeamua kujianzishia Uzi sio? Njoo Bongo mademu wako uliokuwa ukitoka nao usiku bado wapo.
 
Back
Top Bottom