Ndugu yangu wa Kidato cha Nne anatafuta kazi

Feb 15, 2021
72
81
Habari wakuu!

Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata.

Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu wilayani mkuranga-pwani. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi naomba amsaidie.

namba yangu ya mawasiliano ni 0656208659 na namba yake ya mawasiliano ni 0757942975. Natanguliza shukrani.
 
Mungu atamsaidia atapata TU. Kazi ya kusuka aende kwenye Salon mbalimbali hasa za Mikocheni, Msasani na maeneo mengine ya kishua ndio wanalipa vizuri. Huko Vikindu kusuka nywele jero au buku, hawezi toboa.
 
Vikindu kuna viwanda vingi
Kwanini asiende kwa wachina wa Yeboyebo?
 
Kuna sister angu anataka house gal.kula, kunywa na kulala ni kwake.mshahara ni 50k.ikikupendeza njoo inbox nikupigie pande
 
Habari wakuu!

Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata.

Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu wilayani mkuranga-pwani. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi naomba amsaidie.

namba yangu ya mawasiliano ni 0656208659 na namba yake ya mawasiliano ni 0757942975. Natanguliza shukrani.
Uyo ndugu yako ni wewe mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom