Ndugu yangu wa damu hana uaminifu kwenye pesa, amenidhulumu mara kadhaa

Makaka ndiyo walivyo mi simpi siri zangu bro jamaa ni mmbea vibaya mno. Tena anakutangazia kwa watu.

Anamuambia mama mtoto 'Huyu bwana ako hana akili ms3nge sana anashindwa kupambana kupata pesa mkatoka hapo?'

Too bad wazazi hua wanaside na makaka

mi ninaweza nikawa sina pesa nakufa njaa lakini siwezi kumpigia simu jamaa anisaidie kwakua akimaliza kukusaidia linakua tangazo mtaani.

Chief kama unaweza kukomaa bila yeye komaa
 
Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point ..

Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa Mara ili tatizo linajirudia ..
Dah hivi unaanzaje mukpa kaka yako hela akushikie? We ni mtoto sana kiasi kwamba ukikaa nazo utanunua chips? Usimplaumu kaka yao, wewe ndo umefeli hapo. Ushalizwa lakini bado unampa pesa yako hahaha. Hebu simama mwenyewe kama mwanaume achana na kumshirikisha huyo kaka ako
 
Au pengne huko nyuma alishatumia pesa zake kukutibia ama kukusomesha ndio maana anakufanyia yote hayo
Wapi Sasa ..hajawai nilipia ada yoyote na ata nikimwambia naumwa awez jitolea kunitibia mahana kunakipindi niliumwa issue ya yeye kuimaliza aliambia ukoo mzima adi nilishangaa Yan pesa ndogo yamatibabu mpaka kila mtu achangie kwel adi leo nikiumwa hua nahkikisha nagharimia mwenyew bill ikiwa kubwa nitahmbia ata washkaj bas yeye atackia tu taharifa juu juu ..
 
Wapi Sasa ..hajawai nilipia ada yoyote na ata nikimwambia naumwa awez jitolea kunitibia mahana kunakipindi niliumwa issue ya yeye kuimaliza aliambia ukoo mzima adi nilishangaa Yan pesa ndogo yamatibabu mpaka kila mtu achangie kwel adi leo nikiumwa hua nahkikisha nagharimia mwenyew bill ikiwa kubwa nitahmbia ata washkaj bas yeye atackia tu taharifa juu juu ..
Jisimamie mwamba, uzuri we mwenyewe mwanaharakati mambo yatakaa t..
 
Huyo Kaka yako hapendi maendeleo yako anapenda kukuona ukiwa chini cha kufanya usimshirikishe kwenye mambo ya hela zako.
 
Unampa akutunzie kwa nini usiweke benki?

Au mpower au tigo kibubu?


Wewe mwenye pesa umeshindwa kuzitunza yeye asiyekuwa na uchungu nazo atazitunzaje??????

Pili unajua kaka yako ni kimeo kwa nini Unakubali atumiwe yeye pesa? Si bora angekutumia mwenyewe ukakatwa tozo wakati wa kutoa lakini pesa yako ukawa nayo kuliko kukosa kabisa?

Acha kupitisha pesa yako kwa mtu unayemuona ni kimeo. Kwanza kwa nini pesa yako ikae kwa mtu au ipite kwa mtu wakati unaweza kupitishia kwako na kuepushana na dhambi ndogo ndogo????
 
Back
Top Bottom