Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,967
- 63,983
Makaka ndiyo walivyo mi simpi siri zangu bro jamaa ni mmbea vibaya mno. Tena anakutangazia kwa watu.
Anamuambia mama mtoto 'Huyu bwana ako hana akili ms3nge sana anashindwa kupambana kupata pesa mkatoka hapo?'
Too bad wazazi hua wanaside na makaka
mi ninaweza nikawa sina pesa nakufa njaa lakini siwezi kumpigia simu jamaa anisaidie kwakua akimaliza kukusaidia linakua tangazo mtaani.
Chief kama unaweza kukomaa bila yeye komaa