Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
Kongosho likiharibika unakufa ndugu. Sema Kongosho lina sumu sio kuharibika. Kongosho lina sumu na uchafu ukisafisha hilo kongosho umepona maradhi yako ya Kisukari. Sikiliza hiyo Video kuhus kongosho.G
Mzizi Mkavu ndugu yangu, diabetes is not a disease, its a condition. It is a defect of the body. Kwa maneno rahisi kisukari ni kama kilema. Kuna kiungo ndani ya mwili (kongosho) kimeharibika na hapajavumbuliwa namna ya kukitengeneza
Tiba zote hasa mbadala zinazotangazwa ni za kupunguza wingi wa sukari kwenye damu kitu ambacho ni temporal na sio kutengeneza/kutibu kongosho lililoharibika likawa halitimizi majukumu yake yaliyokusudiwa na Maulana
So can you please address hilo? Maana mtu anaweza akaenda kupima akakuta kweli level ya sukari yake ipo normal but that doesn't mean amepona