Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Huhuhu nitakua nakuvutia na wa upande wa pili

Infact Mitishamba ni dawa
Carlos the Jackal, asante sana kwa taarifa njema, Mungu ni mwema sana ndiyomaana huwa nawasisitizia sana Watu kuwa tiba za magojwa yote zipo katika vyakula vitokanavyo na mimea ya asili, tatizo Binadamu wa kizazi chetu hiki ni Wabishi sana.

Mungu akubariki sana Mzee Baba.
 
Endeleeni kudanganyana, badala ya kubadilisha mlo na kula balanced diet unasema wale ukwaju? hehehe
Wapunguze kula carbohydrates nyingi maana wabongo wengi ni wali mwingi kuliko mboga, au ugali mwingi kuliko mboga, all the carbs wanashusha tu bila mazoezi, hata wanywe juice ya ukwaju litre mia per day watabaki palepale tu. Tanzania ni moja ya nchi zenye diet mbaya sana na watu wengi mazoezi ni zero, toka lini umeona mbongo anaenda gym constantly?
 
Nidanganye nn sasa??? Hayo yote ya vyakula wanayajua.

Kisukari hata Mawazo tu kwao nishida !!! Sio mpaka vyakula.
 
Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.
 
Kwanza ahsante kwa hii taarifa bila kujali ufanisi wa matibabu yake.

Nna maswali machache, kwa kuwa dozi inaenda kwa lita tano.

Je, ni kiasi gani cha ukwaju kinatakiwa kutengeneza hizo lita tano? Mwenye kilo moja, mbili, nne au tano za ukwaju wote watapata lita tano lakini kiasi au uzito utatofautiana.

Pili, hii juice inaongezewa sukari au haihitaji kabisa sukari?

Mwisho, unaposema glass moja, ni ya ukubwa upi? Najua pia watu wanatofautiana umri, uzito na ukubwa au aina ya tatizo la kisukari, bado wote hao dozi inafanana?

Shukrani
 
Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.

Mkuu huyu sio mtu wa kwanza kudai kwamba ukwaju unatibu au unapambana na kisukari, angalia ndani ya youtube chini ya; "medicinal value of tamarind", utakuta watu wengi wameelezea uzoefu wao juu ya huo ukwaji kupambana na diabetes.
 
Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.
Hayo yote nayajua, kwaufupi nmekutana na wagonjwa wenye typ 1 au 2 ila wengi nlokutana nao ni 2 .. Nakupitia hii kitu tumefanikiwa ku-control na sijapata case yoyote hatarishi.

Na kinachonipa moyo ni hawa watu saizi hawasumbuliwi na shida zinaoletelezwa nahii kitu.

Kuhusu kufanya kazi kwangu..nakutofanya kazi kwa mwingine.. Nadhan Shida anayopata mgonjwa anaijua mwenyewe !.
 
Hahahaa na king fish alivyo mtamu sipati picha, ama kweli kila kazi inaubunifu wake. Kwahiyo muda si mrefu wateja(maana huku hawaitwi wagonjwa) wataanza kuambiwa walete mchele, maharage, nyanya, vitunguu na hata matunda ikiwa kama sehemu ya tiba eeeh MoCo?
Ndiiioooo,.halafu huwa tunawaangalia pia wale wanene wanene wenye afya,tunawaambia walete mbuzi😋😋😋hawa chagonda ni kuku tuu na mchele kilo 3
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom