Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

Asante Sana let me share this
Sawa mkuuu fanya ivo !! tuwasaidie ..

Kuna mzee hapa, yeye ilikua haipiti siku tatu keshaletwa Hosp kwetu hapa hajitambui !!!


Ila tangu nmempa hii kitu.. Yeye binafsi kajikuta ananivunjia Kilo mbili, huu ni mwezi wa Tatu hosp haijui !!!

Nafanya kuwasiliana naye kufuatilia maendeleo....

Aka kashule kadogo, nimepewa na Daktar Rafiki yangu Mchina ,tulikutana mahali !!!!!.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom