Ndugu yangu mwenye kisukari naomba usome hapa

  • Thread starter Carlos The Jackal
  • Start date
bongonyoo

bongonyoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
217
Points
250
bongonyoo

bongonyoo

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
217 250
Iko hivi
- Alipost kwanza maelezo ya awali - bila kuweka maelezo ambayo yako sasa.
- Angalia kwa umakini mistari niliyo m_quote. ndipo alipokuwa ameishia kuandika, kabla ya ku edit na kuongeza kipengele cha DOZI, yamkini ni kufuatia swali (/ maswali ) langu ndipo akakamilisha kama isomekavyo sasa.
- Ndugu bongonyoo tuko pamoja, na uwe na siku njema.
okay,,hapo nimekuelewa vzr boss,kumbe mwandiko wako ndo ulimsanua akaongezea dozi,,kuwahi kuusoma uzi mapema napo kuna raha yake kumbe,...shukran mkuu na pia samahani kwa mwandiko nilouandika kabla,....ila pia uko na ustaarabu sana..angekua mwingine hapo angeniteremshia mwandiko mchafu kinyama...thank u man..and have a gnight
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
35,389
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
35,389 2,000
Ahsante kwa taarifa...

Cc: mahondaw
 
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2018
Messages
4,064
Points
2,000
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2018
4,064 2,000
Unaikoroha na sukari? Maana juisi ya ukwaju kavu kavu hainyweki.
Hapana kavu kavu yenyewe..ndio maana nmesema.

Glass moja asubuh...moja mchana ..moja jionHiii kitu inasaidia sana, wala hutoona mgonjwa wako mnampeleka tena Hosp ..
 
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2018
Messages
4,064
Points
2,000
Carlos The Jackal

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2018
4,064 2,000
Mkuu naomba maelekezo ya ziada kidogo. Hiyo juice iwe plane yani isiwe na sukari? na je iwe nzito kwa maana ya kali au nyepesi mzimuo wa maji uwe mwingi?
Usiweke sukari mkuuu.

Isiwe kali yaan iwe katikati..

Nakoswa muda, ila ningewaandalia picha hatua kwa hatua.

Juice hii uchachu wake ,uwe ni ule ambao majumban kwetu tunatumia hata bila sukar
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,238
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,238 2,000
Mimi ninayo dawa ya kutibu na kumaliza maradhi ya kisukari mwilini mwako. Unatumia dawa zangu kwamuda wamiezi 2 unakwenda kupima ugonjwa wakisukari huna kabisa unakula chakual chochote ukitakacho umepona amradhi yako. Kwamtu mwenye huo ugonjwa wa kisukari aka Diabetes anitafute kwa wakati wake nipate kumtibia apate kupona kabisa.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au kopi hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,515
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,515 2,000
G
Mimi ninayo dawa ya kutibu na kumaliza maradhi ya kisukari mwilini mwako. Unatumia dawa zangu kwamuda wamiezi 2 unakwenda kupima ugonjwa wakisukari huna kabisa unakula chakual chochote ukitakacho umepona amradhi yako. Kwamtu mwenye huo ugonjwa wa kisukari aka Diabetes anitafute kwa wakati wake nipate kumtibia apate kupona kabisa.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au kopi hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
Mzizi Mkavu ndugu yangu, diabetes is not a disease, its a condition. It is a defect of the body. Kwa maneno rahisi kisukari ni kama kilema. Kuna kiungo ndani ya mwili (kongosho) kimeharibika na hapajavumbuliwa namna ya kukitengeneza

Tiba zote hasa mbadala zinazotangazwa ni za kupunguza wingi wa sukari kwenye damu kitu ambacho ni temporal na sio kutengeneza/kutibu kongosho lililoharibika likawa halitimizi majukumu yake yaliyokusudiwa na Maulana

So can you please address hilo? Maana mtu anaweza akaenda kupima akakuta kweli level ya sukari yake ipo normal but that doesn't mean amepona
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,573
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,573 2,000

Mkuu ilikia nahitaji msaada, Nasumubuliwa na tatizo la masikio
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,238
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,238 2,000
G

Mzizi Mkavu ndugu yangu, diabetes is not a disease, its a condition. It is a defect of the body. Kwa maneno rahisi kisukari ni kama kilema. Kuna kiungo ndani ya mwili (kongosho) kimeharibika na hapajavumbuliwa namna ya kukitengeneza

Tiba zote hasa mbadala zinazotangazwa ni za kupunguza wingi wa sukari kwenye damu kitu ambacho ni temporal na sio kutengeneza/kutibu kongosho lililoharibika likawa halitimizi majukumu yake yaliyokusudiwa na Maulana

So can you please address hilo? Maana mtu anaweza akaenda kupima akakuta kweli level ya sukari yake ipo normal but that doesn't mean amepona
Kongosho likiharibika unakufa ndugu. Sema Kongosho lina sumu sio kuharibika. Kongosho lina sumu na uchafu ukisafisha hilo kongosho umepona maradhi yako ya Kisukari. Sikiliza hiyo Video kuhus kongosho.
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,904
Points
2,000
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,904 2,000
Ukwaju unarekebisha level ya sukari au unafanyaje malizia
Ewe ndugu yangu, unayehangaika na Kisukari, wee rafiki unayejua jamaa yako. Ndugu n.k ana KISUKARI.

huu ugonjwa una mateso sana nadhani mnaelewa.

LEO sitozungumza chochote kitaalamu kuhusiana na matibabu ya Kisukari, kwa sababu najua mmeshazunguka sana tu.

NAWASIHI NA KUWAOMBA, TUMIENI UKWAJU UKWAJU UKWAJU, UKWAJU UMEWEZA KUNIPA MREJESHO KWA WATU NILOWASHAURI.

TUMIENI UKWAJU UKWAJU.. SIHITAJI CHOCHOTE WALA NINI..NMEAMUA KUWASAIDIA, TUMIENI UKWAJU ,HUU UKWAJU MCHACHU WA SOKONI HUUU !!!

DOZI...

Andaa Lita tano za juice ya ukwaju... Kunywa Glass moja, asubuh kabla ya mlo...kisha moja mchana..kisha moja jion kwa siku tano...

Hope mpaka hapo uraona mabadiliko. Baada ya hapo TUMIA JUICE YA UKWAJU KAMA SEHEM YAKO YA KILA SIKU !!!.....hautokaa ukimbizwe hospital kisa KISUKARI

msisahau kuleta mrejesho ili kua ushuhuda kwa wengine !!.....
 
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,432
Points
2,000
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,432 2,000
Carlos The Jackal mgonjwa wangu wa kisukari ametumia.ukwaju anakojoa Sana baada ya siku ya pili kutumia hiyo juisi
 
Forum statistics

Threads 1,342,645
Members 514,741
Posts 32,758,629
Top