Ndugu yangu mwenye KISUKARI naomba USOME HAPA

  • Thread starter Carlos The Jackal
  • Start date
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,314
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,314 2,000
🀣🀣🀣tunaagizaga samaki,.lakini awe "king fish" tuu
Hahahaa na king fish alivyo mtamu sipati picha, ama kweli kila kazi inaubunifu wake. Kwahiyo muda si mrefu wateja(maana huku hawaitwi wagonjwa) wataanza kuambiwa walete mchele, maharage, nyanya, vitunguu na hata matunda ikiwa kama sehemu ya tiba eeeh MoCo?
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
16,708
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
16,708 2,000

Ndiiioooo,.halafu huwa tunawaangalia pia wale wanene wanene wenye afya,tunawaambia walete mbuziπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹hawa chagonda ni kuku tuu na mchele kilo 3
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,314
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,314 2,000
Ndiiioooo,.halafu huwa tunawaangalia pia wale wanene wanene wenye afya,tunawaambia walete mbuziπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹hawa chagonda ni kuku tuu na mchele kilo 3
Kama mambo yenyewe yako hivyo itabidi niingie kwe fani hiyo aisee, ila naskia kuna ku testiwa!! Hukawii kujikuta asubuhi upo juu ya bati na nguo za kulaliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
16,708
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
16,708 2,000
Kama mambo yenyewe yako hivyo itabidi niingie kwe fani hiyo aisee, ila naskia kuna ku testiwa!! Hukawii kujikuta asubuhi upo juu ya bati na nguo za kulaliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiachiwa nguo wewe ujue una bahati na wamekupenda,mara nyingi ni kama ulivyo zaliwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa mzee baba unajikuta dushe liko kusini wewe uko mashariki ya mbali daah,inabidi kujipanga na wewe
 
J

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
1,079
Points
2,000
J

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
1,079 2,000
Ukwaju kiasi gani kaka Carlos?
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,314
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,314 2,000
Ukiachiwa nguo wewe ujue una bahati na wamekupenda,mara nyingi ni kama ulivyo zaliwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa mzee baba unajikuta dushe liko kusini wewe uko mashariki ya mbali daah,inabidi kujipanga na wewe
Hapa lazima Mshana Jr ahusike. Anipatie tuition angalau ya masaa mawili kwa siku lakini anipe kwanza kinga nisije kuonyesha sinema ya bure kwenye paa la nyumbaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
65,967
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
65,967 2,000
Ewe ndugu yangu, unayehangaika na Kisukari, wee rafiki unayejua jamaa yako. Ndugu n.k ana KISUKARI.

huu ugonjwa una mateso sana nadhani mnaelewa.

LEO sitozungumza chochote kitaalamu kuhusiana na matibabu ya Kisukari, kwa sababu najua mmeshazunguka sana tu.

NAWASIHI NA KUWAOMBA, TUMIENI UKWAJU UKWAJU UKWAJU, UKWAJU UMEWEZA KUNIPA MREJESHO KWA WATU NILOWASHAURI.

TUMIENI UKWAJU UKWAJU.. SIHITAJI CHOCHOTE WALA NINI..NMEAMUA KUWASAIDIA, TUMIENI UKWAJU ,HUU UKWAJU MCHACHU WA SOKONI HUUU !!!

DOZI...

Andaa Lita tano za juice ya ukwaju... Kunywa Glass moja, asubuh kabla ya mlo...kisha moja mchana..kisha moja jion kwa siku tano...

Hope mpaka hapo uraona mabadiliko. Baada ya hapo TUMIA JUICE YA UKWAJU KAMA SEHEM YAKO YA KILA SIKU !!!.....hautokaa ukimbizwe hospital kisa KISUKARI

msisahau kuleta mrejesho ili kua ushuhuda kwa wengine !!.....
Unaikoroha na sukari? Maana juisi ya ukwaju kavu kavu hainyweki.
 
Zionist

Zionist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Messages
1,485
Points
2,000
Zionist

Zionist

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2017
1,485 2,000
Hapa lazima Mshana Jr ahusike. Anipatie tuition angalau ya masaa mawili kwa siku lakini anipe kwanza kinga nisije kuonyesha sinema ya bure kwenye paa la nyumba
Kama huna ushirikina ni tapeli, mchawi hakuwezi. Kwa sababu inabidi uwe mshirina ili ushirikina ukupate.
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
7,314
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
7,314 2,000
Kama huna ushirikina ni tapeli, mchawi hakuwezi. Kwa sababu inabidi uwe mshirina ili ushirikina ukupate.
Kumbe ndio hivyo mkuu!? Na wale wanaonunua lakini hawakua na asili nao inakuwaje?
 
Mbuguni TPC

Mbuguni TPC

Senior Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
150
Points
225
Mbuguni TPC

Mbuguni TPC

Senior Member
Joined Apr 9, 2015
150 225
Ewe ndugu yangu, unayehangaika na Kisukari, wee rafiki unayejua jamaa yako. Ndugu n.k ana KISUKARI.

huu ugonjwa una mateso sana nadhani mnaelewa.

LEO sitozungumza chochote kitaalamu kuhusiana na matibabu ya Kisukari, kwa sababu najua mmeshazunguka sana tu.

NAWASIHI NA KUWAOMBA, TUMIENI UKWAJU UKWAJU UKWAJU, UKWAJU UMEWEZA KUNIPA MREJESHO KWA WATU NILOWASHAURI.

TUMIENI UKWAJU UKWAJU.. SIHITAJI CHOCHOTE WALA NINI..NMEAMUA KUWASAIDIA, TUMIENI UKWAJU ,HUU UKWAJU MCHACHU WA SOKONI HUUU !!!

DOZI...

Andaa Lita tano za juice ya ukwaju... Kunywa Glass moja, asubuh kabla ya mlo...kisha moja mchana..kisha moja jion kwa siku tano...

Hope mpaka hapo uraona mabadiliko. Baada ya hapo TUMIA JUICE YA UKWAJU KAMA SEHEM YAKO YA KILA SIKU !!!.....hautokaa ukimbizwe hospital kisa KISUKARI

msisahau kuleta mrejesho ili kua ushuhuda kwa wengine !!.....
Thread nzuri sana
 
B

bongonyoo

Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
97
Points
125
B

bongonyoo

Member
Joined Jun 29, 2019
97 125
- Je unaandaliwa vipi huu ukwaju? na
- Matumizi yake yako vipi kama tiba ya kisukari?
- Kiasi gani kinatumika?
- Mara ngapi kwa siku?

My Take
- Ahsante kwa ku_share nasi.
hujui kuandaa jiuce mkuu,soma vzr maelezo yake,,maswali ulouliza yote kayaeleza vzr sana,umeambiwa andaa lt 5 za juice ya ukwaju [hujui inaandaliwaje hiyo ni ishu yako,tafuta maelezo ya kuansaa youtube],..matumizi yake keshakuambia kunywa glass 1 asbh kabla ya chai,then 1 mchana na moja ucku.sioni km kulikua na haja ya kuuliza tena badala yake labda tu kuijaribu na kuleta mrejesho hapa
 
B

bongonyoo

Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
97
Points
125
B

bongonyoo

Member
Joined Jun 29, 2019
97 125
Kwanza ahsante kwa hii taarifa bila kujali ufanisi wa matibabu yake.

Nna maswali machache, kwa kuwa dozi inaenda kwa lita tano.

Je, ni kiasi gani cha ukwaju kinatakiwa kutengeneza hizo lita tano? Mwenye kilo moja, mbili, nne au tano za ukwaju wote watapata lita tano lakini kiasi au uzito utatofautiana.

Pili, hii juice inaongezewa sukari au haihitaji kabisa sukari?

Mwisho, unaposema glass moja, ni ya ukubwa upi? Najua pia watu wanatofautiana umri, uzito na ukubwa au aina ya tatizo la kisukari, bado wote hao dozi inafanana?

Shukrani
fact
 
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
βœ…
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,130
Points
2,000
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
βœ…
Joined Jul 23, 2013
8,130 2,000
hujui kuandaa jiuce mkuu,soma vzr maelezo yake,,maswali ulouliza yote kayaeleza vzr sana,umeambiwa andaa lt 5 za juice ya ukwaju [hujui inaandaliwaje hiyo ni ishu yako,tafuta maelezo ya kuansaa youtube],..matumizi yake keshakuambia kunywa glass 1 asbh kabla ya chai,then 1 mchana na moja ucku.sioni km kulikua na haja ya kuuliza tena badala yake labda tu kuijaribu na kuleta mrejesho hapa
Iko hivi
- Alipost kwanza maelezo ya awali - bila kuweka maelezo ambayo yako sasa.
- Angalia kwa umakini mistari niliyo m_quote. ndipo alipokuwa ameishia kuandika, kabla ya ku edit na kuongeza kipengele cha DOZI, yamkini ni kufuatia swali (/ maswali ) langu ndipo akakamilisha kama isomekavyo sasa.
- Ndugu bongonyoo tuko pamoja, na uwe na siku njema.
 
digba sowey

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,742
Points
2,000
digba sowey

digba sowey

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,742 2,000
Sure Mkuu,niliambiwa dawa ya madonda ya tumbo ni maziwa ,asali mbichi na mayai mabichi( lakini ikumbukwe kuwa hosipitali walinikataza kutumia maziwa) dozi ni siku 3x 3/3 nami kwa vile nilitaka nipone nikafuata ushsuri wa tiba ,siku ya kwanza,siku ya pili hali ikawa mbaya kuliko hapo awali,nikawa ka nimeyatibua madonda nikaamua kusitisha dozi Mara moja,angalizo hizi tiba tuwe nazo makini sana ,
Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.
 
Forum statistics

Threads 1,336,276
Members 512,585
Posts 32,533,232
Top