Ndugu yangu Mahabusu miezi mitatu sasa, Eti Upelele hauja kamilika

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
Ndugu zanguni naombeni ushauri, hii sheria mpya inasemaje kwa watu walio kamatwa wanatesekea ndani kwa miezi mitatu kila siku upelelezi hauja kamilika.

Naomba kujua , hii sheria ina tekelezwa kwa hawa mahabusu wa baada ya sheria kupita au hata wale walio kamatwa tangu januari na wako mahabusu naupelelezi unaendelea , je hii sheria si inaruhusu hawa mahabusu watolewe kwa dhamana mpaka upelelezi utakapo kamilika?

Maana kuna ndugu yangu ana miezi mitatu tangu aweke mahabusu kila siku upelelezi hauja kamilika anafikishwa mahamani na kutoruhusiwa kujibu kitu anarudishwa mahabusu, eti upelelezi hauja kamilika.

Je, hii sheria hairuhusu hawa kutolewa wakae nje kwa dhamana mpaka upelelezi utakapo kamilika?

Yupo Moshi mjini, gereza la Karanga, kesi ipi mahakama ya mwanzo Moshi.
 
Ndugu zanguni naombeni ushauri, hii sheria mpya inasemaje kwa watu walio kamatwa wanatesekea ndani kwa miezi ni3 kila siku upelelezi hauja kamilika.

Naomba kujua , hii sheria ina tekelezwa kwa hawa mahabusu wa baada ya sheria kupita au hata wale walio kamatwa tangu januari na wako mahabusu naupelelezi unaendelea , je hii sheria si inaruhusu hawa mahabusu watolewe kwa dhamana mpaka upelelezi utakapo kamilika?

Maana kuna ndugu yangu ana miezi mitatu tangu aweke mahabusu kila siku upelelezi hauja kamilika anafikishwa mahamani na kuto ruhusiwa kujibu kitu anarudishwa mahabusu, eti upelelezi hauja kamilika.

Je, hii sheria hairuhusu hawa kutolewa wakae nje kwa dhamana mpaka upelelezi utakapo kamilika?

Yupo Moshi mjini, gereza la karanga, kesi ipi mahakama ya mwanzo moshi.
Kamuombee dhamana mahakama ya wilaya, ana kesi gani? Au ni robbery
 
Miezi 3 bado sana,ndugu yangu ana miaka 8.5 yuko huko,kama ni kifungo kwa muda aliokaa huenda angekuwa ameachiwa huru kwa hukumu ya miaka 18.
 
Ila sheria mpya inataka waachiliwe fuatilia iliyopitishwa na bunge juzi tarehe 11 wengi wana achiwa kwa dhamana tatizo ndugu yetu kuna dalili ya rushwa inatafutwa
Sasa ina maana hujui? Toa pesa ndugu yenu atoke..
 
Anashtakiwa kwa kosa gani? Ikiwa kosalake linadhamana basi anayohaki yakupata dhamaba ya mahakama.

Jaribu kufwatilia utaratibu wakumwombea dhamana mahakama anayoshtakiwa ikishindikana kata rufaa mahakama ya juu (wilaya au mahakaya hakimu mkazi).

Angalizo. Awe anashtakiwa kwa kosa lenye dhamana.
 
Kosa la Mauwaji, maakama ya Wilaya.. nijuavyo mm case yoyote inayo sikiliwa mahakam zote zilizopo chini ya mahakama kuu zina dhamana. ispo kuwa case za mahakama kuu tu ndio hazinaga dhamana.. sasa kama huyu yupo kwenye kundi kamata kamata na amechanganywa kwenye kundi la watu wa5 wanao shutumiwa kuuwa mtu . na yeye kachanganywa kwenye kamata katama iweje akose dhaman??
 
Back
Top Bottom