Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 166
- 452
Ndugu zanguni naombeni ushauri, hii sheria mpya inasemaje kwa watu walio kamatwa wanatesekea ndani kwa miezi mitatu kila siku upelelezi hauja kamilika.
Naomba kujua , hii sheria ina tekelezwa kwa hawa mahabusu wa baada ya sheria kupita au hata wale walio kamatwa tangu januari na wako mahabusu naupelelezi unaendelea , je hii sheria si inaruhusu hawa mahabusu watolewe kwa dhamana mpaka upelelezi utakapo kamilika?
Maana kuna ndugu yangu ana miezi mitatu tangu aweke mahabusu kila siku upelelezi hauja kamilika anafikishwa mahamani na kutoruhusiwa kujibu kitu anarudishwa mahabusu, eti upelelezi hauja kamilika.
Je, hii sheria hairuhusu hawa kutolewa wakae nje kwa dhamana mpaka upelelezi utakapo kamilika?
Yupo Moshi mjini, gereza la Karanga, kesi ipi mahakama ya mwanzo Moshi.