Ndugu yangu kachanganyikiwa baada ya kufata ushauri wa kuacha kazi Serikalini kwenda Sekta Binafsi

Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
9,670
34,369
Wakuu habari,


Jamaa kwa sasa ana hali mbaya sana, wafanyakazi wenzake wa mwanzo wanamcheka tu wanasema alikua ni mtu wa majigambo sana na aliwadharau, jamaa hata connection hana kwa sasa.

Hivyo ndugu zangu tuwe Makin sana na ushauri tunaopewa.
 
Ana lengo la kushauri watu wakumbatie ajira za siri kali
Hayo ni mawazo yako tu mkuu,, hata sekta binafs unaweza kukutana na mtu akakushaur uache na ukafanye biashara flan ambayo hujaifanyia utafit mwsho wa siku unapoteza kote.

Ushauri uko mwsho hapo tuwe Makin na kila tunacho shauriwa unaweza kuona ulicho nacho hakifai kwasababu tu hujatafit.
 
Minadhani hapo tatizo ni ndugu yako, kwasababu inaonekana alipenda sana starehe kupita kiasi.

Na inaonekana hakua na mahusiano mazuri na watu walio mzunguka, that's why hata huko alipo enda hakuongezewa mkataba kwasababu ya tabia zake.

Na kuhusu kukanyagiwa mke wake, huo ni umalaya wa mke wa jamaa yako na hauna mahusiano na kukosa kwake kazi.
 
Hayo kama yangu tuu niliondolewa kazini wiki mbili kabla ya kufika siku ya Ndoa yangu. Aiseee sikia tu kwa mwenzio. Nilikuwa ovyo sijapata ona, moyoni nina chuki nao vibaya mnoo nilifikiria hata kuwafanya mbaya sana.

Nashukuru Mungu sa hivi nime settle kidogo. MAKAMPUNI NA MASHIRIKA BINAFSI SIKU ZOTE UWE TAYARI KUONDOKA HIVYO UWE UNAJIPANGA KWA HILO.
 
Hayo kama yangu tuu niliondolewa kazini wiki mbili kabla ya kufika siku ya Ndoa yangu. Aiseee sikia tu kwa mwenzio. Nilikuwa ovyo sijapata ona, moyoni nina chuki nao vibaya mnoo nilifikiria hata kuwafanya mbaya sana. Nashukuru Mungu sa hivi nime settle kidogo.

MAKAMPUNI NA MASHIRIKA BINAFSI SIKU ZOTE UWE TAYARI KUONDOKA HIVYO UWE UNAJIPANGA KWA HILO.
Pole sana
 
Hayo kama yangu tuu niliondolewa kazini wiki mbili kabla ya kufika siku ya Ndoa yangu. Aiseee sikia tu kwa mwenzio... Nilikuwa ovyo sijapata ona , moyoni nina chuki nao vibaya mnoo nilifikiria hata kuwafanya mbaya sana. Nashukuru Mungu sa hivi nime settle kidogo. MAKAMPUNI NA MASHIRIKA BINAFSI SIKU ZOTE UWE TAYARI KUONDOKA HIVYO UWE UNAJIPANGA KWA HILO.
Pole sana bro tupo kwenye dunia ambayo ili ipendeze ni lazma iwe na changamoto na ili iwe nzuri Ni lazma tuzishinde
 
Minadhani hapo tatizo ni ndugu yako, kwasababu inaonekana alipenda sana starehe kupita kiasi.
Na inaonekana hakua na mahusiano mazuri na watu walio mzunguka, that's why hata huko alipo enda hakuongezewa mkataba kwasababu ya tabia zake.
Na kuhusu kukanyagiwa mke wake, huo ni umalaya wa mke wa jamaa yako na hauna mahusiano na kukosa kwake kazi.
Mahusiano ni kwel hakua na mahusiano mazur na wenzake tangu akiwa kwenye ajira ya mwnzo
 
Back
Top Bottom