Ndugu yangu anatafuta kazi yeye ni fundi ujenzi

Oranoo

Member
Apr 11, 2020
10
45
Jamani samahanini...

Kuna ndugu yangu ni fundi ujenzi yupo Arusha ni Fundi Kujenga anatafuta kazi...

Maomba msaada kama kutakua na opportunity mnisaidie namba ni 0756396123..

Helps plz n fund mzur na bei chee/mnelewana vzuri..na mikoani anakuja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom