Ndugu yangu anahitaji bajaji ya mkataba

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Nina ndugu yangu anatafuta BAJAJI ya kuendesha kwa mkataba ana leseni class E.

Ninamjua vilivyo hana usumbufu wowote ule na sio Gegedu (muharibifu/ muendesha rafu) nina uhakika utakuwa umewekeza kwa dereva sahihi.
 
Back
Top Bottom