Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.

Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.

Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?

Unaenda kushindwa. Siyo maono yako na hukuwa na mpango wa biashara alafu mtaji unapewa bila masharti yoyote.

Kuna dalili zoooooooote za kushindwa hata kabla ya kuanza. Wewe na ndugu yako wote ni vipofu!
 
Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.

Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.

Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Mjulishe kuwa umeacha kazi ukiambatanisha documents za mchongo.

Fanya study ya kutosha kuhusu biashara kisha tafuta mtu unayemmudu kusimamia biashara utakayoamua kufanya.

Fanya maandalizi yote ya biashara kisha chukua hiyo pesa.

Omba likizo ya siku 28 kazini kwako anza biashara chini ya usimamizi wako ukifuatilia mapungufu madogo na makubwa na kuyafanyia kazi.

Endapo kuna mapungufu ongeza likizo ya dharura kuendelea na biashara.
.
.
NB
Usiache kazi kwanza. Unaweza kukosa mbingu na ardhi kwa pamoja
 
Hizi lodge tatu za maana kwa milioni 200 na day care ni za aina gani?
Mbona na wewe unaongea kama hujaona hela hiyo iliyoandikwa. Milioni 200 ufanye yote hayo. Unajenga nini? Kua serious alafu ni seniour member wa JF
hujaona neno AU ktk paragraph ya tatu..?
 
hiyo 200ml pesa ndogo sana hiyo, usizuzuke nayo, kwa mwezi sh: 1.5ml, inakutosha sana kuanzisha biashara zako na kupambana nazo huku ukiendelea na kazi.

kuna jamaa wengi tuu kazini wanalipwa kama wewe na wamejiongeza kwa biashara zao binafsi na wanaelekea kutoboa. Chamsingi uweze kuwa na usimamizi mzr wa biashara zako.

Usiwe na tamaa, rizika na ulichonacho na ujiongeze kwa hicho, mbona waweza kuta unapata nyingi zaidi ya hizo 200mil.
 
Jenga lodge ya kawaida mikumi mil.50 -

nenda gairo jenga lodge nyingine ya kawaida mil.50
-nenda pale tunduma border weka fiscal chamber ya benki zote na miamala ya simu(tigopesa,mpesa n.k) pia weka bereau de change ndogo pale badilisha kwacha kwa dollar kwa shillings (apo invest 30 mil.

inabaki 70-20 hiyo ni kama collateral -50 jenga nyumba kubwa ya wapangaji weka mtu

kwa mzunguko wa hela kwa maeneo hayo kwa siku unalaza zaidi ya 2 mil. kama profit kwa siku

sijaeleza sana sababu niko border na clear mzigo navuka kasumbalesa - (natamani humu JF tungekuwa tunatuma V.N ila ....mm ngeeacha kazi nkafanya biashara ingekuwa nafasi yangu ya kutoboaa

wakati tunasoma somo la biashara shule au chuo kuna neno ( qualities of an entrepreneurship) HE/SHE IS ALWAYS A RISK TAKER

we only live once - wen only u encouter death is wen only you can truly appreciate life
 
Chance ndoto naomba uje kusoma hapa tujifunze kwa pamoja ktk hili andiko la Riyan Said, lakini nami nitaongezea nyama chini...
Lazima tuwe na 3rd eye, hakuna kinacho shindikana... Tatizo letu sisi WaTz hatufanyi utafiti na hatutak kujifunza...
Ndio maana mtu una mwambia nyumba yako au nyumba ile ina thamani ya million 35 anakubishia anasema katumia million 80. Kumbe mwenye nyumba hadi nyumba inaisha hajui hata bei ya mbao au nondo... Unapotaka kuanzisha mradi fanya research ukimaliza wekeza muda wako ktk kuanzisha au kujenga mradi wako... Kwahio niliposema Million 200 inajenga Lodge 3 za maana nilikua sahihi kabisa... #ChallengeAccepted
 
Ndio maana mtu una mwambia nyumba yako au nyumba ile ina thamani ya million 35 anakubishia anasema katumia million 80. Kumbe mwenye nyumba hadi nyumba inaisha hajui hata bei ya mbao au nondo... Unapotaka kuanzisha mradi fanya research ukimaliza wekeza muda wako ktk kuanzisha au kujenga mradi wako... Kwahio niliposema Million 200 inajenga Lodge 3 za maana nilikua

Chance ndoto naomba uje kusoma hapa tujifunze kwa pamoja ktk hili andiko la Riyan Said, lakini nami nitaongezea nyama chini...
Lazima tuwe na 3rd eye, hakuna kinacho shindikana... Tatizo letu sisi WaTz hatufanyi utafiti na hatutak kujifunza...
Ndio maana mtu una mwambia nyumba yako au nyumba ile ina thamani ya million 35 anakubishia anasema katumia million 80. Kumbe mwenye nyumba hadi nyumba inaisha hajui hata bei ya mbao au nondo... Unapotaka kuanzisha mradi fanya research ukimaliza wekeza muda wako ktk kuanzisha au kujenga mradi wako... Kwahio niliposema Million 200 inajenga Lodge 3 za maana nilikua sahihi kabisa... #ChallengeAccepted
Daaaah, SERIOUS?. Good enough nimewekeza maeneo yote yaliyoorodheshwa hapo kasoro Tunduma ila nimpita njia sana kwa eneo hilo. Bado nakukatalia. Labda uchukue maeneo ya ndani sana. Tena ambapo biashara alizosema hazina uhitaji labda kwa kiasi kidogo, na hata faida aliyosema, kufunga profit ya 2 milion au Kufunga Mauzo ya 2 milioni, biashara zinazowekezwa sio za 50ml, ni zaidi talkin 100ml to 120ml, from experience. Ebwana mkuu wetu anataka uongee fact, tupeni moyo na sisi ambao tunatamani kuwekeza. Sasa nyie mnaingiza choo cha kike watu, hivi unaijua 50ml, ujenge lodge, please over please men. I am in hotel industry for 12 good years.
 
Maisha bana,, huku mtaani watu wanaishi kwa mitaji ya tsh, laki tatu za mikopo ya vikoba, na wanalea familia na watoto ,,.. wengine milioni 200 eti ni ndogo kwa biashara
 
Hizi lodge tatu za maana kwa milioni 200 na day care ni za aina gani?
Mbona na wewe unaongea kama hujaona hela hiyo iliyoandikwa. Milioni 200 ufanye yote hayo. Unajenga nini? Kua serious alafu ni seniour member wa JF
Mi mwenyewe namchora nasema hiiiiiiiiiii
 
Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania.

Sasa juzi hapa kanishauri niachane na kazi za kuajiriwa (mshahara wangu ni kama Tshs 1.5m kwa kwenzi). Ananiambia yuko tayari kunipa mtaji wa Tshs 200m kwa shart moja tu, niachane na kazi ya kuajiriwa ili nijikite kwenye kuzitumia hizo Tshs 200m zizalishe. Kaniambia hatanipangia cha kufanya, ni juu yangu, na kwamba kama nikizipoteza pia ni juu yangu, wala hatanidai. Ila hataki anipe hizo hela huku naendelea na kazi ya kuajiriwa.

Naombeni ushauri - kwanza kama ni wazo zuri mie kuacha kazi kwa hiyo Tshs 200m, na kama ndivyo nikiacha kazi nizitumie kwenye biashara gani? Nikiacha kazi, nina mafao yangu ya kama Tshs 70m, kwa hiyo nitakuwa na jumla ya kama Tshs 270m, lakini bado sielewi nifanye shughuli gani. Kilimo? Daladala? Nyumba? Biashara ya mazao? Niziweke tu benki niwe nachukua interest? Au niendelee tu na kazi yangu ya kuajiriwa yenye uhakika wa mshahara kila mwezi?
Mkuu nimeona umesema ndugu yako anakutumia dollar laki moja ambayo kwa sasa ni kwenye 240 million.

Nimekaa na wazungu na kufanya nao Kazi. Wao hufikiria Kwanza commitment,pili, kupata profit,tatu Kazi iwe specific bila kushindwa kulipa kodi,surplus pia itumike katika kuanzisha biashara nyingine, usiwe na biashara moja tu.
USHAURI
ni kweli ukiwekeza katika treasure bonds hukosi faida kila mwaka. Weka 150 million kwa miaka hata kumi. Faida ipo kila mwaka na hela yako iko pale pale hivyo risks free.
Pili anzisha biashara mbili tofauti zinazoweza kukupatia hela. Hakuna biashara nzuri kama ya chakula.
Mfano, biashara ya mchele toka mbeya, morogoro,na sehemu zingine. Yaani hapo unazungumzia kuleta gari la 40 feet la mchele,mahindi,na pia fursa zingine.
Kuna kwenda china, ukiwa na hata 40 million ni nyingi Sana.
Fursa kama za kukusanya mkaa,mbao,kwa China unaweza leta spear za magari, Kupokea order mbali, Ila kuna machine ya kutengeneza bati,ukaweka mikoa km ya kanda ya ziwa maana huko bati za msauzi wananunua dar,kuna machine mbali mbali kutokana na wewe kufanya research,ukaona km machine za mashambani zinalipa.
China kuna machine nyingi ndogo ndogo ambazo wajasiliamali wanazitaka Sana ila itabidi uende na mwenyeji.
Mi sio mtaalam sana,ila unaweza kwenda hapo balozi za china, unaweza pata tenda ya vyakula MBALI MBALI km asali,mihogo, maharage ya njano,na mengineyo na unaambiwa wanahitaji kuanzia tani ngapi,unapeleka hapo ubalozini,wao kule wanalipa,wewe unatuma mzigo.hela hyo bado ni nyingi sana
 
Chukua hiyo hela anza na mimi nipe mi 50 tufungue ofisi moja ya cable tv matata hapa ushirombo tupige hela mkuu yaani hatukosi mil 3 mpaka 5 kwa mwezi.
 
Mjulishe kuwa umeacha kazi ukiambatanisha documents za mchongo.

Fanya study ya kutosha kuhusu biashara kisha tafuta mtu unayemmudu kusimamia biashara utakayoamua kufanya.

Fanya maandalizi yote ya biashara kisha chukua hiyo pesa.

Omba likizo ya siku 28 kazini kwako anza biashara chini ya usimamizi wako ukifuatilia mapungufu madogo na makubwa na kuyafanyia kazi.

Endapo kuna mapungufu ongeza likizo ya dharura kuendelea na biashara.
.
.
NB
Usiache kazi kwanza. Unaweza kukosa mbingu na ardhi kwa pamoja
Umejua kazi anayofanya? Kama ni mwalimu je?
 
Bongo hata ukifanya kazi miaka miambili hutoboi kwa vimishahara hivi mbuzi, kama hiyo ulioandika ni kweli acha kazi fasta anza mishe zako utakuja kunishukuru baadaye , kuna watu walikua wakurugenzi mishahara mikubwa lakini cha ajabu walichokuja kupata kama kiinua mgongo utashangaa, hata mia hamsini haifiki, sasa wewe unapewa kiinua mgongo ungali bado una nguvu zako unakataa loh, tumia akili utakuja kunishukuru baadaye na mamifuko ya hifadhi ya jamii yalivyoishiwa itafika kipindi mtalipwa hata 50M tu baada ya kutumikia kwa jasho na damu miaka yenu yote.
 
Ukisoma comments za wabongo humu ndio utajua kwanin hii nchi masikini wengi ni wasomi... Vijana endeleeni kuBet na kupiga story za vijiweni
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom