ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,625
- 2,442
Habari zenu?
Naombeni ushauri kama nilivyotanguliza kwenye kichwa chajieleza hapo juu.
Ndugu yangu alifanyiwa operesheni ya Hernia ambayo ilikuwa inashuka kwenye korodani upande wa kulia.
Sasa amekaa vizuri bila shida takribani miezi 6 lakini tangia jana analalamika kuwa anasikia maumivu kwenye korodani zake na akigusa anasikia maumivu.
Na sehemu anayoumia ni ile sehemu iliyovurugwa wakati anafanyiwa Operesheni.
Pia kuna kipindi alikuwa akilala kwamba kuna sehemu alikuwa hasikii "sense" zilikuwa chini zaidi ila kadri siku zilivyozidi kwenda khali ile ilibadilika , siyo sana lkn kwa sasa walau anasikia "sense" ila kinachomtatiza ni haya maumivu haswa ile sehemu aliyovurugwa.
Madaktari Naombeni Ushauri Wenu.
Nitashukuru Sana Na Mungu Awabariki Kwa Kujitoa Kutusaidia Kupambanua Mambo.