Ndugu watanzania natafuta kazi nina shahada ya sanaa katika Accounting and Finance(BA-AF)

Omuzaile

Member
Jan 23, 2019
33
55
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtanzania mwezenu natafuta kazi takribani mwaka wa pili sasa ila sijafanikiwa kupata, nina uzoefu wa miaka miwili kama project assistant accountant kwenye kampuni binafsi ambapo mkataba uliisha baada ya project kuisha.


Nimefanya interview nyingi serikalini pia na sekta binafsi ila sijafanikiwa kupata, ninaomba kwa yeyote ambae anaweza nisaidia kupata kazi, connection, naomba anisaidie. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa Tanzania.

Napatikana kibaha maili moja, mawasiliano yangu ni 0699 836 556
 
Umesema una Shahada ya Bachelor?

SHAHADA.jpg
 
Back
Top Bottom