Ndugu watanzania natafuta kazi nina shahada ya sanaa katika Accounting and Finance(BA-AF)


Omuzaile

Omuzaile

New Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
1
Points
45
Age
29
Omuzaile

Omuzaile

New Member
Joined Jan 23, 2019
1 45
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtanzania mwezenu natafuta kazi takribani mwaka wa pili sasa ila sijafanikiwa kupata, nina uzoefu wa miaka miwili kama project assistant accountant kwenye kampuni binafsi ambapo mkataba uliisha baada ya project kuisha.


Nimefanya interview nyingi serikalini pia na sekta binafsi ila sijafanikiwa kupata, ninaomba kwa yeyote ambae anaweza nisaidia kupata kazi hata kwa kunidalaria naomba anisaidie maana maisha yamekuwa magumu kwangu na huku umri nao ukiwa unaenda. Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote hapa Tanzania.

Napatikana kibaha maili moja, mawasiliano yangu ni 0759 642 464, mushumbusii@gmail.com
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,240
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,240 2,000
Umesema una Shahada ya Bachelor?

shahada-jpg.1097990
 
Doubleg Mwamasangula

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Messages
958
Points
1,000
Doubleg Mwamasangula

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2017
958 1,000
Hajajua maana ya shahada na bachelor pia inamaanisha nn?
Huwa anayasikiasikia tuuu yakitumika
Hawa wasomi wetu Tanzania
 
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
1,539
Points
2,000
Lagrange

Lagrange

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
1,539 2,000
Jiajiri Mkuu,, afu mbona vitambulisho bei chee kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,889
Top