NDUGU WAPI ZINAPATIKANA TECHNICAL CLUBS ZA MECHANICS NA DESINING HAPA DAR_ES_SALAAM

Dec 27, 2016
5
1
Ndugu mi nimpenzi wa maswala ya desinings na mechanics ningependa kufaha clubs hapa jijini ili nijiunge kwa ajili ya kuongeza ujuzi na ufahamu wa maswala haya .hivyo basi naombeni msaada wenu wana jamii
 
majiji yapo mengi unaongelea lipi? arusha, tanga, dar, mwanza, mbeya ?
 
Back
Top Bottom