Ndugu wanapokosa msaada/kusaidia jamaa/ndugu zao ni hatua gani ya kuwachukulia?

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,786
3,677
Habari wadau. Naamini kila mtu kwa namna moja au nyingine katika maisha yake alishawahi kuomba msaada kwa ndugu yake akapata au asipate. Na katika kuupata/kutopata msaada huo kuna mambo fulani yalijitokeza. Mi nakumbuka wakati namaliza f6 nilienda kukaa kwa ba mdogo moro SUA pale.wakanigeuza kama huse boy wao pale maana walikuwa wafugaji,nilivumilia nikawa nafanya kazi zote nikiwa na jambo moja kichwani kuwa majibu ya f6 yatakapotoka kama nimefaulu ba mdogo atanisaidia kupata nafasi SUA maana anafundisha hapo. Majibu yalipotoka nikawa nimepata dvsn2, nikamweleza ba mdogo anisaidie kupata nafasi SUA maana kipindi hicho kupata chuo ilikuwa kazi sana, majibu niliyoyapata nilichoka,alinieleza SIJUI UTARATIBU WA KUDAHILI WANAFUNZI HAPA CHUON UKOJE,akaniuliza kwani umepata dvsn ngapi? Nikanjibu 2 akanijibu,HIYO KWA HAPA UMEFELI LABDA URISITI UPATE DVSN ONE NDIO WANAWEZA KUKUCHUKUA,nikaendelea je huwezi ukanifanyia mpango kwa maprof wenzako unaofamiana nao Mzumbe wanisaidie au UD au MUccoBs,alinijibu SIFAHAMIANI NA PROFFESOR HATA MMOJA ANAYEWEZA KUNISAIDIA HILO. Nilichoka sana,nilikaa siku mbili nikafunga virago vyangu nikarud zangu home.fm that day mpaka sasa ni mwaka wa 6 sina contact naye,namshukuru Mungu nilipata chuo na nikagradueti na kaz nimepata,cha ajabu nikienda home kwa bibi kijijini naambiwa hajawah kuniulizia hata siku moja anapokwenda,kuslimia.Hivi ndigu wa dizain hii waasiokuwa na muda na familia zao wanakotoka hata msaada japo wao wanakuwa na uwezo wa kusaidia wanatakiwa wafanyajwe from ure personal exprnce?

NAWASILISHA

Mhhh hapa nina hamu sana kueleza ila napata sana uchungu huwa sipendi kukumbuka na lilishapita n

• Thanks
Reactions: bht

underlined, nahisi ulikuwa na maana ya house

red, sorry, kutokana na jina lako pamoja na avatar yako mi nilijua we si boy,
ila pole sana kaka, siku zote usisahau kuwa maisha magumu ndo kipimo cha akili

Songa mbele mshukuru Mungu umeweza kuendelea na kusoma, sasa na wewe jifunze kwa kuwafanyia wengine mema
ndugu wengine ndivo walivyo, hawapendi kuona wenzao wanaendelea kwa lolote

thx kwa ushauri

Mhhh hapa nina hamu sana kueleza ila napata sana uchungu huwa sipendi kukumbuka na lilishapita n

hili i muhimu sana Bwan Rocky...
maisha lazima yaendelee tu, huwezi kumlazimisha mtu akusaidie ilhali nafsi haimsukumi kufanya hivyo.
binafsi namshukuru Mungu kwa mapito maana niliyatumia kama milestones tu....(mtu unapevuka hata kabla ya umri kudadeeki, that is abnormality)

btw: mtegemea cha ndugu hufa masikini.

Usipate uchungu kama ulishapita huko yakaisha yakaisha ukasonga mbele,hapo mshukuru Mungu tu basi.

Kweli kabisa na huo msemo niliamini sana na huwa nautumia kusonga mbele na maisha yangu
Na watu kama hao mwisho wao unakuwa kuja kuomba msaada kwako na huwa ni wepesi sana kusahau walikutenda nini maishani mwako
Hakuna kukata tamaa ni kusonga mbele kuangalia ustaarabu mwingine

Usipate uchungu kama ulishapita huko yakaisha yakaisha ukasonga mbele,hapo mshukuru Mungu tu basi.

kabisa na wala huwa sikumbuki mkuu na huwa sipendi kuopngelea hayo ndo maana nikasema sitaki hata kuandika kuhusu hilo maana litanikumbusha mengi

Naona hilo jambo lilikufanya ubalehe ubongo wako hata kabla ya wakati wake.

Mkuu mbona nilikuwa mtu mzima ghafla
yaani yalinifanya mpaka leo niwe na disclpline ya maisha na kujijua mimi ni nani na napaswa kufanya nini
Sina utani kwenye issue za life na sitaki watoto wangu wapitie pale nilipopitia

Komaa uwatengezee wanao life ,wasipitia mambo haya tuliyokumbana nayo. Kidizain mi naona kunandugu wengine bora tukutane kwenye misiba na harusi tu kwa jinsi walivyo.

mkuu huwa sina muda nao na naenda kwao kukiwa na issue na sio kutembelea au kukaa nao tupige tena story au kupanga jambo lolote
Naaamini katika marafiki na marafiki ndio waliofanikisha kila kitu na wamenipa support kubwa sana maishani mwangu
Wale marafiki kweli na sio hawa wanafiki wa siku hizi

Habari wadau. Naamini kila mtu kwa namna moja au nyingine katika maisha yake alishawahi kuomba msaada kwa ndugu yake akapata au asipate. Na katika kuupata/kutopata msaada huo kuna mambo fulani yalijitokeza. Mi nakumbuka wakati namaliza f6 nilienda kukaa kwa ba mdogo moro SUA pale.wakanigeuza kama huse boy wao pale maana walikuwa wafugaji,nilivumilia nikawa nafanya kazi zote nikiwa na jambo moja kichwani kuwa majibu ya f6 yatakapotoka kama nimefaulu ba mdogo atanisaidia kupata nafasi SUA maana anafundisha hapo. Majibu yalipotoka nikawa nimepata dvsn2, nikamweleza ba mdogo anisaidie kupata nafasi SUA maana kipindi hicho kupata chuo ilikuwa kazi sana, majibu niliyoyapata nilichoka,alinieleza SIJUI UTARATIBU WA KUDAHILI WANAFUNZI HAPA CHUON UKOJE,akaniuliza kwani umepata dvsn ngapi? Nikanjibu 2 akanijibu,HIYO KWA HAPA UMEFELI LABDA URISITI UPATE DVSN ONE NDIO WANAWEZA KUKUCHUKUA,nikaendelea je huwezi ukanifanyia mpango kwa maprof wenzako unaofamiana nao Mzumbe wanisaidie au UD au MUccoBs,alinijibu SIFAHAMIANI NA PROFFESOR HATA MMOJA ANAYEWEZA KUNISAIDIA HILO. Nilichoka sana,nilikaa siku mbili nikafunga virago vyangu nikarud zangu home.fm that day mpaka sasa ni mwaka wa 6 sina contact naye,namshukuru Mungu nilipata chuo na nikagradueti na kaz nimepata,cha ajabu nikienda home kwa bibi kijijini naambiwa hajawah kuniulizia hata siku moja anapokwenda,kuslimia.Hivi ndigu wa dizain hii waasiokuwa na muda na familia zao wanakotoka hata msaada japo wao wanakuwa na uwezo wa kusaidia wanatakiwa wafanyajwe from ure personal exprnce?

NAWASILISHA

Maisha yamebadilika saana na morals kuendelea kupotea kila siku.... Siku hizi mtu anamsaidia yule ambae anaona ataweza msaidia lakini nje ya hapo hana shida nawe... But hata hivo inaonesha kua Huyou ndugu yako yuko soo self centred... yaani hajali nje ya immediate family yake.. angekua saizi anakufuatilia tungesema ni hypocrite....

nakubaliana na wewe moja kwa moja

Pole sana kaka. Hayo yanawakuta wengi. Hata mm yalishanikuta hila nikapiga moyo konde kwan 10yrs hawajakanyaga home kwetu hila sasa mungu kasaidia tumekomaa ndowametinga home. Kwahiyo vijana wenzangu nikumtumainia mungu kwan hakuna kinachoshindikana chini ya jua.

Maisha yamebadilika saana na morals kuendelea kupotea kila siku.... Siku hizi mtu anamsaidia yule ambae anaona ataweza msaidia lakini nje ya hapo hana shida nawe... But hata hivo inaonesha kua Huyou ndugu yako yuko soo self centred... yaani hajali nje ya immediate family yake.. angekua saizi anakufuatilia tungesema ni hypocrite....

Hiyo self centred yake haijamsaidia chochote,right now hakuna nilichokiona cha maana kwake au kwa wanae, c unawajua wale maprofesor conservative even for their persol life wanavyokuwa? Sijui ni kuchanganyikiwa na shule.

Similar Discussions

Back
Top Bottom