Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 4,791
- 3,717
Habari wadau. Naamini kila mtu kwa namna moja au nyingine katika maisha yake alishawahi kuomba msaada kwa ndugu yake akapata au asipate. Na katika kuupata/kutopata msaada huo kuna mambo fulani yalijitokeza. Mi nakumbuka wakati namaliza f6 nilienda kukaa kwa ba mdogo moro SUA pale.wakanigeuza kama huse boy wao pale maana walikuwa wafugaji,nilivumilia nikawa nafanya kazi zote nikiwa na jambo moja kichwani kuwa majibu ya f6 yatakapotoka kama nimefaulu ba mdogo atanisaidia kupata nafasi SUA maana anafundisha hapo. Majibu yalipotoka nikawa nimepata dvsn2, nikamweleza ba mdogo anisaidie kupata nafasi SUA maana kipindi hicho kupata chuo ilikuwa kazi sana, majibu niliyoyapata nilichoka,alinieleza SIJUI UTARATIBU WA KUDAHILI WANAFUNZI HAPA CHUON UKOJE,akaniuliza kwani umepata dvsn ngapi? Nikanjibu 2 akanijibu,HIYO KWA HAPA UMEFELI LABDA URISITI UPATE DVSN ONE NDIO WANAWEZA KUKUCHUKUA,nikaendelea je huwezi ukanifanyia mpango kwa maprof wenzako unaofamiana nao Mzumbe wanisaidie au UD au MUccoBs,alinijibu SIFAHAMIANI NA PROFFESOR HATA MMOJA ANAYEWEZA KUNISAIDIA HILO. Nilichoka sana,nilikaa siku mbili nikafunga virago vyangu nikarud zangu home.fm that day mpaka sasa ni mwaka wa 6 sina contact naye,namshukuru Mungu nilipata chuo na nikagradueti na kaz nimepata,cha ajabu nikienda home kwa bibi kijijini naambiwa hajawah kuniulizia hata siku moja anapokwenda,kuslimia.Hivi ndigu wa dizain hii waasiokuwa na muda na familia zao wanakotoka hata msaada japo wao wanakuwa na uwezo wa kusaidia wanatakiwa wafanyajwe from ure personal exprnce?
NAWASILISHA
NAWASILISHA