Ndugu wanaJF angalieni ujuzi wangu na mnisaidie ajira

Da Vince kwann usiende kuomba ajira ktk mahotel yakitalii kua tours guider

Mbona kwa lugha hizo ukienda pale zanzibar huwez kukosa ajira hotelin aisee
 
Ok,mpaka mwezi Novemba kama utakuwa haujafanikisha,uta-pm mawazo ya biashara yanayohitaji mitaji midogo midogo na pia ufafanue tutapataje faida kwako na kwangu "win/win situation".Saiti iwe Dar au Arusha,makazi yapo.
Naunga mkono hoja mkuu na mm hapa ni investor mzuri tu on profitable and applicable business ideas ila mm nitafute November katikati mkuu Da vinci
 
Dah....
IMG-20180908-WA0006.jpg
 
Kama yap mkuu!? inafurahisha kuona nimekusaidia kitu
Jinsi ulivyojieleza tu maana hapo mimi ambacho sikijui ni hizo lugha na hayo mafilosophy hapo chini ila vingine nimesoma na nna ujuzi lakini siwezi kuandika kama ulivyoandika!

Huweziamini juzi kati hapa niliacha kutuma application sehemu kwa sababu niliipoteza post yako na nilikuwa na plan ya kuedit cv yangu kupitia hiyo yako..

Nashukuru kwa CV nzuri mkuu nitakutangaza sehemu kadhaa nitakazo jaribu kama fadhila mkuu
 
Pole sana na Hong era pia kiongozi. nafarijika kuona you got something important from me..
Nitashukuru sana mkuu wangu!
 
Hiv Mpka Leo haujapata mkuu??.
Mbona CV yako niliipeleka pale kijitonyama..
Hawajakuita??
 
Back
Top Bottom