Ndugu wanaJF angalieni ujuzi wangu na mnisaidie ajira

Ok,mpaka mwezi Novemba kama utakuwa haujafanikisha,uta-pm mawazo ya biashara yanayohitaji mitaji midogo midogo na pia ufafanue tutapataje faida kwako na kwangu "win/win situation".Saiti iwe Dar au Arusha,makazi yapo.
OK kitaaluma ni MTU was buzz management Na entrepreneur (nimesomea) usijali Nina a lot of biznes plans
 
Sema karne hii kusema kweli jaribu kubuni kimradi chochote tu ndugu yangu maana utapata ajira aumbiwe kwa mwezi 90 kama mtafutaji pigana upate mtaji ujiajir
 
Back
Top Bottom