Ndugu wadau nahitaji kujua maneno haya: Kamari na bahati nasibu

qaxemvule

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
230
117
Kama nilivyouliza hapo juu
Je?. Maneno haya ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti Kama kitu kimoja nini umoja wake.
Kama vitu viwili nini utofauti wake
Naombeni kufahamishwa .
 
Back
Top Bottom