Ndugu wa Zitto waokoa Mkutano wa Slaa

Hilo toa mada msiangaike nalo nalijua ni kitumwa cha nchemba yule aliefumaniwa na mke wa mtu igunga,lichama lina wendawazimu kibao kama kina nchemba,nape,zee la usingizi na wengine lakini hakichukui hatua kazi kubebana tu,chadema hoyeeee
 
Tatizo kubwa la CHADEMA sio Mbowe wala Zitto bali ni uhodhi wa fikra nyepesinyepesi kama hizi. Na mbaya Zaidi baada ya kummaliza Zitto na siasa zao za fitna na Dr Slaa kwa kutumia ujinga wake kisiasa kwa kukubali kuwa kafara wa kueneza uzandiki dhidi ya Ziito pamoja na ufisadi mkubwa waliometegea kina Mbowe kwenye matumizi ya fedha za chama ikiwemo kumkopesha shilingi milioni 80 kulipia nyumba na milioni 40 ya fenicha pamoja na madeni mengine kibao yasiliyolipwa, genge la wehu la Tundu Lissu, Msigwa na Lema ndilo litafanya hayo mapinduzi mnayoyatengeneza... hapo ndio mtakapojua ukubwa wa tatizo maana ndipo fikra za kijinga kama hizi hapa juu ndio zitakuwa zimehodhi sura ya CHADEMA...
 
pamoja na kutoa MAPOVU MENGI KIASI CHA KUJAZA PIPA , LAKINI NAOMBA NIKUSHUKURU KWA MATUSI YAKO .
 
Niliona mkutano wake Chanel Ten, watu hawazidi 120 pamoja na watoto askari na watu anaoongozana nao. Ndi maana hapa hata picha haziwekwi. wakati wa helkopta tulikuwa tunawekewa kila aliyekuja kushangaa, leo mbona hamuweki. Acha umburula mikutano yote hovyo
 
Tatizo kubwa la CHADEMA sio Mbowe wala Zitto bali ni uhodhi wa fikra nyepesinyepesi kama hizi. Na mbaya Zaidi baada ya kummaliza Zitto na siasa zao za fitna na Dr Slaa kwa kutumia ujinga wake kisiasa kwa kukubali kuwa kafara wa kueneza uzandiki dhidi ya Ziito pamoja na ufisadi mkubwa waliometegea kina Mbowe kwenye matumizi ya fedha za chama ikiwemo kumkopesha shilingi milioni 80 kulipia nyumba na milioni 40 ya fenicha pamoja na madeni mengine kibao yasiliyolipwa, genge la wehu la Tundu Lissu, Msigwa na Lema ndilo litafanya hayo mapinduzi mnayoyatengeneza... hapo ndio mtakapojua ukubwa wa tatizo maana ndipo fikra za kijinga kama hizi hapa juu ndio zitakuwa zimehodhi sura ya CHADEMA...

Ndugu yangu Lyasa,

Hii inaitwa jf ya watu GT,

Hoja za mtu makini hujengwa katika mizani halisi na sio hisia na mihemko,

Tofautisha sana jf na mitandao kama twita na fb ambako unaweza kuwachagua watu wakujibu hoja zako,

Nakusihi tuliza moyo na akili kisha jenga hoja zako kwakutumia uhalisia wa mambo (ushahidi) na sio hamari za vijiweni
 
Back
Top Bottom