Ndugu wa Zitto waokoa Mkutano wa Slaa

Alipo kuwa jimboni kwa Zitto ndugu zake hawa kusemwa kusaidia kuokoa mkutano wa Slaa baada ya mkutano wa Kigoma kufanyika kwa mafanikio makubwa ndugu zake Zitto wanasemwa kuwa ndio walio okoa mkutano.Wakati siku za nyuma huyo huyo Bayona alitajwa kuwa ndie aliye kuwa anaongoza maandamano kiasi cha k udriki hata kuvunja vijiwe vya CHADEMA pamoja na kuchana bendera za chama.Sijui huu uzuri wa leo ameutoa wapi.

hii movie wameianzia mbali sana kaka, sema ndo hivo tena movie zetu za kibongo ukiangalia dakika tatu umeshafocus nakuona itaishaje.
walianzia NO kutia mguu KG,zikafata sarakasi nyingi hapo kati sasa wameprove failure wanakuja na mlango wa mbele.
poor ZZK, poor MM , poor state party.
 
hahaaa haaaa
mmeanza kutapatapa eeh??!!

hebu acha uongo mtoa mada
hakuna chochote na mkutano umefanyika kwa amani na mahudhuriio yalikuwa makubwa kuliko kawaida na hao wananchi wameshangaa na zzk amewakacha kwamba hausiki na fujo hizo na kwamba muache chama kina taratibu zake
 
Huyo Bayona ndiye aliyeratibu vurugu siku za mwanzo wa sakata. Kwanza hata jina lake ni la Kirundi. Soma hapa:


Haloo.
Kwa asili ya kazi yangu, huwa hatufanyi kinadharia, bali inahitajika critical surveillance. Nitawapasha juu ya kile kilichotokea Kigoma kwamba "eti wanachama wa CHADEMA wamechoma kadi na kuvunja vijiwe"

MRATIBU WA TUKIO
Aliyeratibu ni mdogo wake Zito anaitwa Bayona na Katibu wa mbunge Dk. Alex (tabibu). Walifanya kikao siku 1 kabla Zito hajatoa tamko nyumban kwao Zito. Walikusanya watu wapatao 20 bila uongozi wa Jimbo kujua. Katika kikao hicho baadh ya wanachama walihoji uhalali wa kikao, ndipo waratibu wakamwita Mwenyekiti wa Jimbo ambaye pia ni Diwani wa Mwandiga Mhe. Ally Kisala ambaye alipofika kikaon alikata mpango wao wa kuchoma kadi, bendera na kuvunja vijiwe, kwa maelezo kwamba Wasubiri tamko la Zito kwani maamuz yale ya KAMATI KUU ni halali na si jambo jema kuharibu mali za chama. Wajumbe wote wakaunga mkono na kutawanyika kwa kuwa adhana na swala ya Inshah iliita. Ilipofika saa 4 usiku, waratibu mpango wakaanza kupita na gari na kutangaza kwamba watu wajitokeze kesho na kadi zao....
 
Hatukumuona huyo mtu anayejiita mdogo wa zitto tulichoona nima mzazi alikuja kumsalimia boss mwanae ,mmesikia kanda mbili mliomo humu ndani
 
Nyie vijana wa hiki chama mna matatizo, ugomvi wa chadema sasa CCM inaingiaje?
If you face fatal challenge and you can't find an internal enemy you'll find an external.
 
Nyii maccm baada ya mbinu zenu kuingia mkenge ndiyo mnajidai ndugu wa Zito wame saidia.Zito umaarufu wake uko wapi nje ya cdm.Jiulize Lamwai yuko wapi.Wa kimmaliza hutamsikia tena.Akienda ccm ndiyo litakuwa kaburi lake maana ccm yenyewe kaburi liko tayari

eti baada ya kuona wameshindwa
wakaweka cjii ni shuka/kitambaa cheupe na udi/ubani na makolokolo barabarani ili dr aogope
nimecheka sn nilivyosikia kwny redio wanatangaza hapa
ila ndo kwanza dr hakuogopa kapita na mkutano umefanyika tena kwa mafanikio
 
...ujio wako tu humu jf unaashiria ni MM family,tangu lini familia ya akina zito ilete upinzani kwa rais mtarajiwa. hakuna mlingano kabisa hata kwa mbali tu haipo hii kitu...
 
Hivi Chadema haiwezi kupiganiwa na mtu ambaye hatoki kaskazini na akaungwa mkono.
 
Hivi Chadema haiwezi kupiganiwa na mtu ambaye hatoki kaskazini na akaungwa mkono.

UKABILA NYERERE ALIUKOMESHA!!!!!!!!! Usianzishe harakati za TRIBAL APATHED maana Mandela alikuwa mmoja na kesharudisha kadi yake. Kumbuka Burundi walivomalizana!
 
UKABILA NYERERE ALIUKOMESHA!!!!!!!!! Usianzishe harakati za TRIBAL APATHED maana Mandela alikuwa mmoja na kesharudisha kadi yake. Kumbuka Burundi walivomalizana!

Rwanda! waliuwana zaidi...
 
CDM haitokuja kuchukua hii nchi.
Haina kiongozi anaestahili kupewa nchi... wote walio baki pale ni watu wa chuki, wafitinishi, wababe....
Ndio maana kwao hawaoni shida nchi kutotawalika kutokana na tamaa zao za madaraka.
 
Hii nafharia ya kuwa zotto akitendewa haki ili kuiokoa CDM inanikwaza sana, lazima mjue hakuna ama Zitto ama slaa au na yotote yule ni maarifu zaidi ya Chama na miaingi yake.
 
kama ni kweli mbona watu wamehudhuria? ina maana basi huyo ndg. wa zirro aliwatembelea watu na kuwaomba wahudhurie mkutano. KWELI HII WANZUKI.
 
UKABILA NYERERE ALIUKOMESHA!!!!!!!!! Usianzishe harakati za TRIBAL APATHED maana Mandela alikuwa mmoja na kesharudisha kadi yake. Kumbuka Burundi walivomalizana!
Wewe kauzu kweli ukabila umejaa Chadema siyo maneno yangu ni maneno ya Said Arfi aliyejiudhulu.
 
Wewe kauzu kweli ukabila umejaa Chadema siyo maneno yangu ni maneno ya Said Arfi aliyejiudhulu.

Kwa hiyo wewe chochote aemacho bwana Side mnyamwezi Arfi wakubalana nacho tu! Ama hili la ukabila specifically ndo umelikubali?
 
Back
Top Bottom