kilele pori
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 232
- 30
Alipo kuwa jimboni kwa Zitto ndugu zake hawa kusemwa kusaidia kuokoa mkutano wa Slaa baada ya mkutano wa Kigoma kufanyika kwa mafanikio makubwa ndugu zake Zitto wanasemwa kuwa ndio walio okoa mkutano.Wakati siku za nyuma huyo huyo Bayona alitajwa kuwa ndie aliye kuwa anaongoza maandamano kiasi cha k udriki hata kuvunja vijiwe vya CHADEMA pamoja na kuchana bendera za chama.Sijui huu uzuri wa leo ameutoa wapi.
hii movie wameianzia mbali sana kaka, sema ndo hivo tena movie zetu za kibongo ukiangalia dakika tatu umeshafocus nakuona itaishaje.
walianzia NO kutia mguu KG,zikafata sarakasi nyingi hapo kati sasa wameprove failure wanakuja na mlango wa mbele.
poor ZZK, poor MM , poor state party.