Kamarade wa kamarade
Member
- Dec 6, 2013
- 10
- 5
Katika Hali isiyokuwa imetarajiwa mdogo wake Zitto amefanikiwa kuokoa Mkutano wa Dr Slaa kushinwa kufanyika mjini kigoma.
Wanafamilia na ndugu wa karibu wa Zitto wakiongozwa na mdogo wake aitwae Bayona walifanikiwa kupunguza munkari wa Wana CHADEMA waliokuwa na hasira ambao waliokuwa wamejiandaa kuvuruga Mkutano huo kwa kuwataka wahudhurie Mkutano huo Bila ya kufanya vurugu huku wakisubiri matokeo ya rufaa ya Zitto kwa baraza kuu la chadema ambalo wanaamini litatenda haki na kuokoa chama.
Haijulikani kama hili limefanyika likiwa na mkono wa Zitto isipokuwa katika taarifa yeke leo mbele ya waandishi, Wakili wa Zitto aligusia kuwa Zitto haungi mkono vitendo vya fujo anavyofanyiwa Dr Slaa na kuwataka wanacham kutulia kuacha hatua za kichama ziendelee.